Home
Unlabelled
libeneke la eapoti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aibu sana halafu mnaita hiyo airport international ? ovyo sana hilo linchi kuna mijitu inapenda uongozi kwa ajili ya sifa kujionyesha tu na kupata mshahara mnono lakini haijui kuwajibika na kazi hata kidogo viongozi huwa si mnasafiri sana jamani?? mmeshawahi kuona ushuzz kama huo eapot za wenzenu?? yani hata kama eapot ni ndogo inavitendea kazi timamu achilia mbali hizo a-port kubwa kweli bongo kuna mateso na uozo wa kila aina huko sirudi kunakera sana
ReplyDeleteMdau heri ya hapo AC inavuja maji bt ipo walau kidogo, kasheshe ni pale unapochukua mizigo yako JOTOOOOOOOO mpaka basi na hamna ata AC inayopiga kazi. Nilikuwa na wageni 3 jirani zangu wakawa wanateta Ki-spanish kwa bahati nzuri nikakinyaka kuwa hawamini km nchi inayosifika inaanza karibisha ivi wageni. Inshort vitu vidogo ila vina-cost nchi jamani fungueni macho wahusika.
ReplyDeleteAirport ni sura yetu, lakini jamaa wanafanya sasa imezidi. Hata dali la sehumu ya kugongea passport wakati unatoka limeoza. Hivi Wakubwa nyumba zao ndio ziko hivi au ndio wanafanyia ukarabati mashangingi na nyumba zao tu?
ReplyDeleteAibu tupu ndugu yangu! Acha tu la AC mvua ikinyesha uwanja unageuka bwawa la kuogelea! for God sake!!!
ReplyDeleteTanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote nchi yangu Tanzania
Ningependa kuongeza kuwa rushwa hapa na pale ziko nyingi sana pale. Naona katika sekta kubwa za Rushwa ni Bandarini - TRA - PCCB na Immigration ya Eapot. Jamani inasikitihsa, hapo hatujasema harufu ya bafu tu uingiapo eapot na mengine mengi.
ReplyDeleteSi aibu jamani, wazungu watusaidie mangapi? Na mangapi tunashindwa?
hivi na zile tiketi za maegesho bado zinasomeka nyayo stadium au wamebadlisha?
ReplyDeletemkuu Harold
ReplyDeletekaka yaani ni aibu balaa! huwezi amini kabisaa kama unaingia INTERNATIONAL AIRPORT..mzee ni noma! anzia pale unapotakiwa kuandika address unapofikia hapo bongo,kaka..kachumba ni kadogo balaa,na peni kama huna mbona utakoma!kibaya zaidi ni pachafu kuliko hata nje.. inatia huruma na hasira, ukiwa ndani unatamani ukitoka ukawaseme kwa mtu lakini kibaya zaidi ukishatoka ndio umetoka, unasahau,unasema ni mambo yao tu.sasa wakati wa kuondoka pia, kuna sehemu mbili wana ku scan...ajabu kweli kweli,yaani kama vile bongo ndio IRAQ au pakistani sasa..yaani uhuru wa kuwa mtanzania hakuna.kuanzia kuingia hadi kutoka.kila kitu kipo hovyo,kibaya zaidi wanaoweza kupiga kelele wanatumia VIP kaazi kweli kweli.ila tutafika tu.
mdau,
Mohsein
hongkong
unda tume...maana wahusika wameshakula mil7 Tsh.kufanya marekebisho madogo
ReplyDeletekilichobaki cha kuafanya ni to privatise the airport madu ajitolee mtanzania ainunue au aingie ubia na serekali achukue umiliki na kuiboresha.. hii ni aibu iliyo pindukia!
ReplyDeletemsikonde tunasubiri bajeti ya Bunge ipitishwe ili tupate fweza za repair so long mfumbege mimacho bajeti iliopo namalizia kajumba kangu kimara
ReplyDeleteJKN aliwaachia wosia: kupanga ni kuchagua (priorities! priorities! priorities!). Ukiwauliza walio madarakani leo hii wanakutumbulia mimacho - kwanza wanakushangaa kwa nini unashangaa"wakati wamefanya vitu vingi sana vya maendeleo". Soma hotuba ya mkuu ya kaya ya kuanga mwaka wa jana na kukaribisha mwaka mpya - kama ulikuwa umepotelea nje ya nchi kwa miaka ishirini utatamani upande ndege siku hiyo na kurejea bongo!!!!!!
ReplyDeleteBongo tambarare
wanaoponda ni waongo na wambea ni nchi chache zenye viwanja vizuri labda ukitoa dubai,uk,us qatar na nyingine chache wengine ovyo tu nilipotembea
ReplyDeleteHii sio Dar Internatinal Airport, mwenye ushahidi aseme ni Dar sehemu gani yenye counter hizo, jamani acheni upambe
ReplyDeleteKIFUNGU CHA UKARABATI HAKITOSHI
ReplyDeleteJK atawahamisha wa Dar kwenda Arusha wa arusha Mwanza na Wamwanza Dar.
ReplyDeleteairport yetu kuna jamaaa wanajiita wa immigration mlango wa kutoka watu wanaotoka nje ya nchi. hivi wanaruhusiwa kweli kuniuliza 'umeenda india kufanya nini'? mie naona ni uozo tu hawavai hata vitambulisho, wachafu, wana lugha chafu. hebu safisheni airport yetu jamani
ReplyDeleteHAPA EYAPOTI NI TASWIRA YA UONGOZI WA KITANZANIA USIOJALI DHAMANA BALI BORA SIKU ZIENDE.
ReplyDeleteMambo mengi yaliyosemwa kuhusu uwanja wetu ni ya kweli, lakini Mr Herald, nimepita DIA mara nyingi sana - sikumbuki kuona counter ya departure kama hiyo. Naamini DIA wana counter moja tu ya departure. Mara ya mwisho kupita DIA ni mwezi January 2010. Sasa labda uniambie imebomolewa na kujengwa upya (katika muda huu wa miezi 3) - na hii picha inaonyesha design mpya, hapo nitakuelewa.
ReplyDeletemdau wa 03:39:00
ReplyDeletehapo ni dar airport, huo msitari ni watu wanataka pata visa ya Tanzania yaani inatia huruma kama hakuna AC mbele au alipo mpiga picha ndio karibu na eneo la kuchukulia mizigo. wa tanzania wao huwa wanaendelea msitari mwingine.
kwa hiyo hao wageni ni wanakoma na joto hapooooo
Jamani tengenezeni basi hizo AC wengine tupo njiani kuja
Hiyoo yote 9 kumi vyoo vya Eapoti kama vya shule ya mcngi vinanuka kama bar wanayouza komoni na mbege. AC zenyewe wameweka ktk ofisi zao 2, sehemu za kusubiria kugongewa Visa na ktk contena la kupandia na kushukia hamna AC. Ukishuka ktk Eapoti ye2 kama una ugonjwa wa Pumu unaweza kufa. Imagine ktk sehemu ya kupanga mstari wa visa kama m2 anajamba ushuzi wa sefu na joto liliokuwa pale kama hamjatemeana mate.
ReplyDeleteMflame wa Kigogo
Bro Michu hii commentz naita Dar-esalaam Eapoti na vi2ko vyake. Wa2 wengi wameisahau kulisema hili jambo, Karaha pale unapotaka kuondoka. Ushapita ktk security wanasachi begi au upo ktk contena ndo unataka kwenda hewani. Utakuta miji2 inakuliza oyaa 2achie chenji iliobakia. Hivi nyinyi omba omba, mnaovaa mshati meupu kama sanda hamlipwi mishahara? Afu wana2omba wabongo 2 wadhungu wanawafagilia. Hii ni kero kweli, tafadhalini acheni mchezo wa kupiga mizinga ovyo. Mi uwaga najifanya kama cjackia nafanya anhaaaaa utakuta linarudi kusema kwa sauti ndogo kama linateta, oyaaa 2achie basi kidogodo
ReplyDeleteMfalme wa Kigogo
kama ni hivyo mbona standard ipo zero /-ve !!!!! siamini kama viongozi wote wapo hapo Dar na wizara zao, lkn mambo yanakuwa hivo, wala awajigusi! na hao wanaosimamia kiwanja na uongozi wote bado wapo kwenye nafasi zao mpk leo na bado wanalipwa!
ReplyDeletewakajifunze kutoka kwenye kiwanja kidogo pale Arusha na kwa jirani zetu Kenyata Airport, std inaridhisha.
kama wafanyakazi wa Tz atujui kujituma ama kuwajibika! atufiki popote! na maisha ya mtz ayatakuwa na nafuu yyt!
TUMELALA SANAAA, lawama kibaoooooo!
Nilizania hela wanazocharge kwa magari yanayoingia hapo ndio za maintanance? Au zile ni za kulipa mishahara tu ya hao waliopo hapo kwenye gate LOL?
ReplyDeleteViongozi wetu hawaoni aibu..Kweli unakwenda nyumbani umetoka kazini na mambo yako hivi... Tunajidhalilisha...Nini unampa mwanao alearn from you kama huwezi hata kufanya kazi kama unamanage hivi nyumbani kwako je inakuaje....
Again and again
Ina maana huyo alieweka hilo plastic hapo alishindwa kureport kwenye mtu anayehusika?
AIBU
AIBU
AIBU
Ati international airport.....International airpport my ...
MIMI NILIDHANIAGA NI KILABU YA CHIBUKU NA CHANG'A. WATANI WA JADI TU WANATUSHINDA, MWEE, ANGALIA GIZA HILO TOTOLO, HAMONANI, NI UCHAFU TU, NI AIBU KUBWA, WATANZANIA HAIBU HIYO, ALAFU TUNALALAMIKA KENYA WANATUPIGA BAO JUU YA WATALII, NANI ATATAKA KUSHUKIA HAPO MAVI YANANUKA KWENYE VYOO KAMA LIKILABU LA CHIMPUMU
ReplyDeleteNDIO MAANA WATOTO WA BONGO UKIWAULIZA UNATAKA KUFANYA KAZI GANI JIBU LAO NI MBUNGE AU MKUU WA WILAYA
ReplyDeleteTutake, tusitake ukweli ni kwamba eapoti yetu inatoa ‘impression’ mbaya sana kwa wageni wanaotutembelea kwa mara ya kwanza. Ni chafu na inanuka ndani na nje. Ukitoka tu nje unakutana na uswahilini ambako ni kuchafu sana na kumejengwa bila ya mpangilio. Ukweli ni kwamba Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam ni aibu kubwa kwa taifa.
ReplyDeletepanaboa sana hii eapoti
ReplyDeletenyambaf kabisa,asa wakiona gabacholi tu basi ngozi nyeusi wanaaza kuwadharau,ngoja iko siku yao
wapuuzi sana