
NI VIGUMU KUWATAJA WOTE ILA SHUKRANI ZA PEKEE ZIWAENDEE,UONGOZI WA KANISA LA ST. ALBAN,WAUGUZI MNH,MAJIRANI,CLOUDS FM,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE BILA KUSAHAU BLOG YA JAMII.MUNGU AWABARIKI SANA.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
AMEN.
R.I.P Brother Paul, Mwenyezi Mungu kwa uweza wake akulaze pema
ReplyDeleteRIP Paul,
ReplyDeleteKwa ukoo wote wa Kalanje poleni sana kwa matatizo. Grace Kalanje na Paul tulisoma wote Shaaban Robert Sec. School, poleni sana.
asanteni sana ndugu zanguni kwa kutupa pole na kutusaidia sana kwenye michango ya kifedha kwa ajili ya mazishi bila ya hivyo nadhani tusingeweza kufanikisha mazishi ya heshima kama haya tuliyafanya mimi dada wa marehem merry mulamula kalanje london naomba tena niseme asanteni majirani na marafiki na ndugu kwa michango yenu na kuweza pia kumsaidia na mama yetu
ReplyDeletePoleni sana wafiwa, Paul RIP Bro. You were such a nice person, I remember them days in upanga ulikuwa mkimya lakini poa sana. umetatutangulia tutafuata.
ReplyDeletePoleni sana familia ya Patrick Kalanje na Kalanje's kwa ujumla. Paul alikuwa mtu mpole na mwenye upendo wa dhati , alikuwa rafiki yangu sana na nitamkumbuka siku zote. Poleni sana Mama Kalanje ,Dada Aloyce,Agness , Merry , Bro Alex , Prisca , Godfrida , Violet and Mchizi Raphael. Mungu awatie nguvu na mshikamane katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Tupo pamoja.
ReplyDeletePoleni sana ndugu wafiwa familia yote ya Kalanje. Mungu ampumzishe kwa amani.
ReplyDeleteNdimi mwana wa mindu street ya enzi zile.
R.I.P BROTHER PAUL. - UPANGA CREW
ReplyDeleteR.I.P BROTHER PAUL. - UPANGA CREW
ReplyDeletePoleni sana familia ya Kalanje kwa kuondokewa na mpendwa wetu Bro Paul.Tunawaombea kwa mungu awatie nguvu kipindi hichi cha majonzi,
ReplyDeleteSalaam Toka kwa Simbeye's Family