umeshaisikia kolabo ya kidumu na jide ambao
majuzi wamemalizia kushuti video yao huko
kwa watani wa jadi? kama bado tembelea bongo celebrity

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu ndio yule jamaa wa Kichuna? Kama ndie big up Bro, maana ule wimbo umeenda shule. Jide pia big up, kazi zako zipo juu.

    ReplyDelete
  2. mdau wa pili acha tu kwa kweli nyimbo za mtu fudenge zimekaa kimapambio zaidi

    ReplyDelete
  3. tatizo kwetu mbagaraaaaaaaaaaaaaaaaaaa inabamba sanaaa acha tuuuuu!!!!

    ReplyDelete
  4. Semeni nyie, ila me sijashtuliwa kabisa na huo mwimbo.. wouldn't listen to it twice..ni mtazamo tu!!

    ReplyDelete
  5. Nakubali kazi imetulia! Tatizo watu wengine hawasikilizi kiwango cha uandaaji wa nyimbo na kiwango cha uimbaji na ulinganifu wa muziki! Na pia inategemea huo muziki unasikilizia kupitia wapi! Big up sana! Tatizo pengine wadau wengine wanataka beats za kucheza KIDUKU! Kaazi kweeliii..!! Haa haaaa haaaaah....!!!

    ReplyDelete
  6. Mziki umetulia ni kweli na wote ni waimbaji wazuri. Lakini wao kwa sababu ni wazoefu wangekwenda 'another level' kutoa kitu bomba zaidi. Beats walizotumia ni za kawaida sana zile kavu kavu tu za zouk kwa hiyo huwezi kujua nyimbo ni wa 1980, 1990 au 2010, mmenipata? Mashairi kidogo yamelazimishwa, kama 'mtoto kuchafua nepi!!' majibizano waliyotumia ni ya mtindo unaofaa kusikiliza kwenye gari ukiwa safarini, kama Franco Luambo Makiadi....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...