Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. michuzi asante sana kwa hii cartoon.

    ReplyDelete
  2. Na hao marafiki wa west wapo na walikuwepo kwa ajili ya nani?

    ReplyDelete
  3. kwa m2 mwenye akili lazima hili litakugusa..huyo ndie chifu mangunga wa sasa

    ReplyDelete
  4. hakuna wa easr au west wote sawa. mtu aliwagundua ujanja wao wa kuibia africa ni julius nyerere tu. viongozi wengi wa africa wanadanganyika kiurahisi kusaini mikataba mibaya. angalia jinsi madini ya africa yanavyo fanya watu wa nje matajiri na kuwaacha wafrica masikini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...