Mbunge wa Singida Mjini Mh.Mohammed Dewji akihamasisha Wananchi uchangiaji wa ujenzi wa madarasa katika kata Mitunduruni Mkoani Singida ambapo shule ya awali ya watoto katika kata hiyo. MO akipokea zawadi ya picha iliyochorwa taswira yake kutoka kwa watoto wa shule ya Sunday School wa kanisa la pentekoste katika kata ya Mitunduruni Mkoani Singida
Mgeni rasmi Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida mjini akihutubia katika harambee ya uchangiaji wa Ujenzi wa shule ya awali ya kompasheni ya kanisa la pentekoste ya kata ya Mitunduruni mkoani humo,MO alichangisha jumla ya shilingi Milioni 10 ikiwemo na yeye binafsi kama mbunge na kwa ajili ya kuwahamasisha alichangia shilingi milioni 5 kutoka mfukoni mwake pamoja na mifuko ya cement 30.
Mgeni rasmi Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida mjini akiendesha harambe ya uchangiaji wa Ujenzi wa shule ya awali ya kompasheni ya kanisa la pentekoste ya kata ya Mitunduruni mkoani humo
wanafunzi wakisoma risala wakati wa hafla hiyo





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huu ni mfano mzuri kwa wabunge makini. Badala ya kuitisha harambee ya kuchangia campaign za uchaguzi ni muhimu kuchangia maendeleo ya majimbo.

    ReplyDelete
  2. The next President of Tanzania

    ReplyDelete
  3. Mbona kampeni zimeanza alfajiri wakati uchaguzi ni alasiri.Just kidding:)

    Mheshimiwa asante kwa kusaidia wananchi.


    (US Blogger)

    ReplyDelete
  4. Acheni majungu,haijalishi kuwa anapiga kampeni au laa,suala ni kwamba amesaidia wananchi wake.nampa big up,hii si sawa na wale wanao fanya kampeni kwakuwapa wananchi pea za khanga au kuapikia pilau.No pilau no fulana,changia maendeleo.
    Mhina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...