Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, Mh. Queen Mwashinga, (kushoto) akipokea kompyuta kutoka kwa Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yesaya Mwakifulefule, Mfuko huo ulitoa Kompyuta 10 kwa shule ya Msingi Bukindo iliyoko wilayani humo ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuendeleza elimu hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...