Hi Mr Michuzi,
natumai uko poa ndugu. Mimi naitwa Avold Panja William,naishi Dar-es-salaam. Naomba msaada wako katika blog yako kunisaidia kumtafuta dadangu aitwae Joyce Ephrahim,tulipotezana naye 1998 wati mimi nikiwa form two naye ndo akamaliza mwaka huo. Anitafute kwa e-mail hii
avold56@yahoo.com ama namba hii 0715-418500.
Mimi ni mshiriki mzuri wa kusoma blog yako,nakutakia kazi njema Kaka.

Ahsante,
Avold.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyu ni dada yako kweli???........tangu 1998, acha mambo yako wewe

    ReplyDelete
  2. Ulipotezana na dada yako mwaka 1998? Kuwa mwangalifu kwani unaweza kuwa unatafuta mke wa mtu halafu ukamsababishia usumbufu wa bure kwenye ndoa yake.

    ReplyDelete
  3. Anony wa Tue Apr 13, 12:29:00 AM has a point. Michuzi angalia sana na hizi "Msaada Tutani" Na wewe Avold uwe mkubwa, unaweza kumletea matatizo huyo the so-called dadangu! Utakuwa umemaliza Form IV mwaka 2000 lakini unakuwa mjinga. Muwe makini jamani wakati mwingine kutumia hizi facilities. Muangalie Anony wa pili toka juu na zingatia ushauri wake wa bure. Mtatia watu matatizoni jamani.

    ReplyDelete
  4. JAMANI BE EDUCATED PEOPLE, HUYU KUMTAFUTA DADA YAKE SI KOSA UNLESS WE UNAETOA MAONI KAMA HAYO HUNA DADA AU NDUGU. WATU WENGI WAMEZAMIA NCHI MBALIMBALI AND THEY CAN'T GO BACK HOME KWA MAMBO WAYAJUAYO WENYEWE NA WE MTOA MAONI ESPECIALLY KAMA UPO HAPA AMERICA. WENGINE WAMEKUFA NA KUCHOMWA MOTO BECAUSE NO BODY WAS ABLE TO TAKE THE BODY TO AFRICA. SO IF YOU KNOW THAT DADA WHY DON'T YOU CONTRIBUTE IN FINDING HER INSTEAD OF KUMTISHIA MICHUZI. HUYU AVOLD HAITAJI PESA WALA MSAADA KUTOKA KWA NDUGU YAKE ANACHOTAKA NI KUPATA UHAKIKA KAMA KTU YU HAI AU KAISHAHESABU NUMBER THATS IT. WE MWENYEWE ULIETOA UJUMBE KMALI KAMA HUU YAWEZEKANA KUJAENDA KWENU MIAKA ZAIDI YA 20 SO YOU CAN FEEL HOW YOUR RELATIVES FEELS EVERYDAY. WENGINE WALISHAWEKEWA SALA NA MATUTA NA MISALABA KUHESABIWA KUWA WALISHATUTOKA AU WATOKA JAMAA ZAO.
    BE A LITTLE HUMAN INAPOHUSU NDG.

    ReplyDelete
  5. Anko hii kweli noma, hapa hakuna cha dada wala nini, ni kweli tuwe waangalifu na baadhi ta misaada jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...