JINA: ABDULKARIM HAJI SALUM LONDA (pichani)
UMRI: MIAKA 13
SHULE: JESHINI PRIMARY SCHOOL (MABIBO), DAR ES SALAAM


ALITOWEKA NYUMBANI MABIBO IJUMAA YA WIKI ILIYOPITA. ALIKUWA AMEVAA T-SHIRT NYEUSI AINA YA JEZI MBELE IMEANDIKWA ARSENAL NA SURUALI AINA YA TRACK SUIT YA RANGI NYEKUNDU.

ANAPENDA KUTEMBELEA KWA NDUGU MAENEO YA UKONGA MAJUMBA SITA, UKONGA KWA MAHITA ,VINGUNGUTI,KAWE , KIWALANI (LUMO),SHINYANGA NA MWANZA.

NAOMBA ATAKAEMUONA TAFADHALI AWASILIANE NAMI:

ZAWADI BAHENGE

0754 710 561
0754557557
0754557950
0784656676

ASANTENI KWA MSAADA WENU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Poleni kwa kupotelewa na mpendwa wenu. Naomba kuulizia hivi Zawadi Bahenge maana yake Zawadi itatolewa ama?

    Mdau.

    Mfungahema

    ReplyDelete
  2. huyu ni mtoto wa mhe. meya londa wa manispaa ya knondoni?

    ReplyDelete
  3. poleni , lakini huyo mtoto mbona mdogo katika picha kulingana na umri walisema hapo ? au hawakumpiga picha muda mrefu tokea hapo ? jamani sasa dunia ya sayansi na technology camera zote hizo mpaka kwenye pete siku hizi kuna kamera , jamani mpige picha za kumbukumbu kwani hujui nini kitatokea baadae ... tunakaaa kama zama za STONE AGE

    ReplyDelete
  4. Mdau hapo juu ZAWADI ni jina mfano ISSA MICHUZI ingekuwa ISSA BAHENGE kwahiyo isikuchanganye sana vinginevyo nafikiri utakuwa umenielewa vizuri sana.

    ReplyDelete
  5. Mdau hapo juu, huyu ni mjukuu wa Mh. Meya Londa.Mtoto wa Haji Londa.

    Mwenyezi Mungu atamlinda huko alipo na tunawaombea apatikane salama.

    ReplyDelete
  6. habari,ni mjukuu wa kanza wa Mh.salum londa,ila walimtelekezea mamayake kwa kukwepa majukumu ya malezi na wao ni chanzo cha kuharibu maisha ya huyo mtoto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...