Nakuchukua fursa hii kuwataarifu Watanzania waishio Reading ya kuwa kutakuwa na mkutano mkuu wa kuwachagua viongozi wa jumuiya yetu hapa Reading tarehe 25/04/2010 ,kwa yoyote yule atakayependa kuwania nafasi basi unatakiwa kujaza form iliyopo kwenye kiambanishi na kuirudisha kabla ya tarehe 20/04/2010.
Upatapo ujumbe huu basi mjulishe na mwenzako.Form zirudishe kwenye email ya Jumuiya na kama unamaswali yoyote yale basi usisite kuwasilaina na sisi.

NAFASI ZA KUGOMBEA
NGAZI YA JUU
1:Mwenyekiti
2:Makamu Mwenyekiti
3:Katibu4:Katibu Msaidizi
5:Mtunza Hazina

WAJUMBE
Nafasi Tano za wajumbe
UKUMBI :TUTAWAJULISHA
MUDA:SAA NANE MCHANA(ZINGATIENI MUDA)
TAREHE:25.04.2010
--
Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Na nyie huko mbona mna kazi au mna muda mwingi on hands? Si juzi tu mmetoka kwenye uchaguzi wa diaspora (TZUK) sasa tena uchaguzi wa Reading ndio nini? Ina maana umoja wa TZUK hautoshi mpaka muweke tena wa vitongoji vyenu? Ohhhh MY.....

    ReplyDelete
  2. wamezoea vyama vya siasa hawa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...