Home
Unlabelled
'nabii' tito aja na mahubiri mapya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
FUNZO LA BIBLIA LA NYUMBANI BILA MALIPO NDIYO NJIA PEKEE YA KUJIPATIA UFAHAMU KAMILI WA BIBLIA.MASHAHIDI WA YEHOVA WANAKUKARIBISHA KWA ELIMU YA BIBLIA NA MACHAPISHO YAKE BILA MALIPO.APRILI 18,2010 NI SIKU YA HOTUBA YA PEKEE ULIMWENGUNI POTE.HOTUBA HII INATEGEMEZWA NA BIBLIA NA ITATOLEWA KWENYE MAJUMBA YOTE YA UFALME YA MASHAHIDI WA YEHOVA KWA NYAKATI TOFAUTI.KWA HABARI KAMILI TAFADHALI TEMBELEA JUMBA LA UFALME LA MASHAHIDI WA YEHOVA LILILOPO JIRANI NA WEWE AU WASILIANA NA MMOJA WA MASHAHIDI WA YEHOVA KATIKA UJIRANI WAKO.
ReplyDelete-----------------------------------
**KWA HABARI ZAIDI JIPATIE KITABU:"BIBLIA INAFUNDISHA NINI HASA"[Kitabu hiki kinachapishwa na kusambazwa na mashahidi wa Yehova uliwenguni pote bila malipo].
Kwa kweli nikija huko namfungulia huyu chizi mashitaka ya kupotosha jamii. Kama kila mtu ana haki ya kuamini dini atakayo basi tumuache (tumuachie Mungu, manake kama alivyosema mmoja hapo, Mungu hadhihakiwi) lakini kwa kupotosha jamii eti pombe ni tiba ya UKIMWI kondomu zisitumike si sawa kabisa.
ReplyDeleteKALI YA MWAKA!
ReplyDeleteDuh hii ni kali! huyu jamaa ni kwenu scientifically hamana kitu kama hicho kwamba ukimwi unatibiwa na Pombe.Huyu jamaa sponsored by Kili Co to spread that lie
ReplyDeleteHii bongo sasa noma.....anapia deal hapo au? mayne.....
ReplyDeleteNimecheka leo mpaka basi,Nimecheka hapo anaposema kwamba usitumie condom ila kunywa pombe huwezi kupata ukimwi,Pia pombe inatibu maleria pamoja na magonjwa mbali mbali,Sijawahi kuona mtu kichwa maji kama huyu!!
ReplyDeletekaka michuzi kwa kweli dunia inaelekea mwisho. Yani kwa kweli sikuamini macho yangu. Huyu kweli michuzi nadhani anahitaji msaada wa maombi toka kwa watanzania wote. Nahisi ametoroka hospitali ya vichaa ya MILEMBE.
ReplyDeletenahisi hali ya maisha inavyokuwa ngumu watu wanaanza kuchanganyikiwa kwa kweli huyu jamaa sijui ni dhihaka au anatafuta kichapo kwa jamii
ReplyDeletejamaa anahitaji msaada wa haraka kabla hajavua ngua
ReplyDeleteIs OKEY what he is preaching,however, He is so Ignorant on diseases.
ReplyDeleteIntellectual heavy weight.
SIKU ZA MWISHO,
ReplyDeleteSafi sana, asante sana ankal kwa kutuletea vitu hivi vya dini mbalimbali.
ReplyDelete(US Blogger)
huyu atakua ana viral encephalopathy
ReplyDeleteMichuzi, ujue unatumia blog yako kueneza kazi ya shetani
ReplyDeleteAnkal ubarikiwe...nimecheka sana mapaka mbavu zinauma.
ReplyDeleteWadau mmemsikia nabii Tito...pombe ni dawa ya ukimwi...hakuna haja tena yakula pipi na maganda yake.Ukimsikiliza huyo mbona utafunga TBL.
Michuzi na watu wengine wacheni kumpa huyu muongo kichwa na umaarufu.
ReplyDeleteHuyu si Muongo Dr paul Hassan MICHUZI WATU KAMA HAWA WANAFIKI AMBAO WANATUMWA NA WAZUNGU KUHARIBU TAIFA BORA UWATOE BWANA ASIFIWE.
ReplyDeleteMPENI DEMU MWENYE UKIMWI AKAONESHE MFANO ALALE NAYE AENDE AKAONESHE KAMA ANACHETI CHAU KIMWI TUMPE DEMU WA USHAHIDI TUONEK KWELI???? HAWA NDIO WANAFIKI WANATAKA KUUWA TU WATU.
ReplyDeleteMichuzi, huyu jamaa amechanganyikiwa, haifai hata kutumia Neno "nabii" kwake. P/se usilitumie hilo neno. Yeye ameamua kumdhihaki Mungu aliye hai, hakika hana mwisho mzuri!
ReplyDeleteHuyu jamaa ni mpumbavu wa kutupwa, ingekuwa nchi za wenzetu wangetia ndani!
ReplyDeleteHaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hiyo kali hakuna dini inayoruhusu kunywa pombe huyo naona kachanganyikiwa hahahahahahah anaharibu dini yenu wakristo ahahhhhahahahhaha mpigeni mawe mpaka afe huyooooooooo naona huyo anaukimwi tayari ndo maana amechanganyikiwa hahahahahahahahahhahahaahahhaha na huyo aliemuotesha ni jini mwenzie sio mwenyezi mungu.
ReplyDeleteSHETANI HUYU! ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU!!!
ReplyDeleteMpogoro kakazania "Mungu aziakiwi kitu unachokipanda utakivuna"....kwi kwi kwi....Nabii Tito leo kanivunja mbavu zote...Huyu akitaka apigwe siku moja ajaribu kudhihaki Muhammad..
ReplyDeleteMuumini
AMA KWELI HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO..MWENYE SIKIO NA ASIKIE..SHETANI YUPO WAZI WAZI SASA HAJAJIFICHA SASA WEWE KAMA UNA AKILI ALIYOKUPA MUNGU BASI ITUMIE....MUACHE APANDE MBEGU YAKE YA MCHONGOMA ITAMCHOMA MWENYEWE.
ReplyDeletenjaa tuu na kukosa kazi...duh bongo choka mbaya sana,bora box wazee kuliko hayo majasho na vumbi
ReplyDeleteNJAA MBAYA SANA......
ReplyDeleteHuyu jamaa ana cheza na Mungu what kind of rubbish is this. Mbona Waislam huwa hawamcheziii Mungu hivi am shocked!!!
ReplyDeletekadata
ReplyDeleteNimeshukuru kuwa yeye mwenyewe "Nabii Tito" amesema yeye sio mlokole. Mafundisho yake ni mafundisho ya mizimu na mashetani yaliyomvamia. Neno la Mungu linasema shetani hujifanya malaika wa nuru ili kudanganya wasiofahamu au wanaokataa ukweli.
ReplyDeleteMchungaji
If people have never seen the wrath of God descending upon them they will see it in this example. God Shall not be mocked.
ReplyDeletejamaa kachanganyikiwa na matatizo ya ulimwengu
ReplyDeletetetetetetehhh.... naona Bongo siku izi tambarare sijui tutafifa tuendapo
ReplyDeletemdau ,
Wiress Networking Eng.
Dresden -Germany
Stupidity at its best.
ReplyDeleteHuyu jamaa anapotosha jamii, toka lini pombe ikasaidia maisha, hata wataalam wa udaktari hawawezi kukubaliana nae. Kibaya zaidi anatumia dini kueneza uovu wake. Ananifanya nijisikie kichefu chefu!
ReplyDeleteSafi sana Nabii Tito, Mi naona wewe upo fiti. Wa-Africa tumezidi kupotoshwa na hizi dini kuu mbili. Tuwe na madhehebu yetu ka hilo la nabii Tito. Bravoooo!
ReplyDeletehaya wale walevi mpate sababu ya kuzidi kulewa!
ReplyDeletekapinda tu huyo, hana lolote
ReplyDeletekama kindindi vileeee!!!!
ReplyDeleteHAWA MANABII WA UONGO HAWANA CHOCHOTE AKILI NI MWAO KWA SABABU HAWAJAKANYAGA CHEO CHETI KITUKUFU CHA MUZUMBE UNIVESITY YA CHUO KIKUU CH AKULE MOLOGOLO. HUYU MUTU NI CHIZI WA KWELI KWELI, SINA LA ZIADA ILA KUMUOMBEA HUYU NABII AUNGANE NA MANABII WENGINE JEHANAMU KWENYE MAPEPO WACHAFU KWA WAKINA US BLOGGER
ReplyDeleteQuite of a paradox.. This is mind boggling form of insanity.
ReplyDeleteWe are sadly deviating from religion, I agree now on the biblical prophesy, and honestly speaking, he is out to make a catch.
A big catch . Me and you will soon be worshipping this man !!!! Only in Tanzania.
Pathetic
Watanzania, mbona mnashindwa kuangalia mambo kwa upana. Simply kwa kuwa mtu kavaa vizuri, anaongea vizuri aimaanishi ya kuwa akili zake ziko sawa sawa . Huyu, self proclaime "Nabii" ana matatizo ya akili, nadhani anaumwa SCHIZOPHRENIA!
ReplyDeleteKitu kingine cha kuthibitisha kwamba huyu bwana sio mzima, ni pale Michuzi alipomuuliza kwa nini anapenda Safari? ...alisema inasaidia sana na inatibu akili !
Bongo bwana watu hawana kazi za kufanya wanamshangaa chizi karibia saa zima, kweli ndiyo maana nchi haiendelei.... huyu jamaa ingebidi wamu-ignore angenyamaza mwenyewe
ReplyDeleteHuyu Nabii anahubiri dini yake kwa kutumia kitabu ambacho ni cha kwake na anakifuata, hii sio hali ya mtu kukashifu dini asiyoifuata sasa lawama za nini waumini?
ReplyDeleteTena yuko tyari kutetea imani zake kwa maandishi ya kitabu sasa kwa nini munamuita shetani badala ya kum challenge kwa maandishi, mbona munamuonea nabii?
Nabii unanidai kreti 10 za bia kwa ajili yako na waumini wa kanisa lako. Ninakuja vekesheni wiki ijayo nitakutafuta nikupe bia zako.
(US Blogger)
Ankal hakuna kumnyima Nabii nafasi ya kutangaza dini yake na kitabu chake, kila mtu ana haki ya kikatiba kabisa kuhubiri dini yake.
ReplyDeleteNabii, nasema unanidai bia, kusanya waumini wa dini yako niwaletee bia zenu.
Nitakuwa hapo siku 30, kila siku nitawaletea chupa 5 kwa kila muumini wa kanisa lako.
(US Blogger)
Huyu jamaa anatafuta kuingia ktk main stream media, muda si mrefu atakuwa na show yake kama wakina masanja
ReplyDeletesatire or stupidity in the order of cowness?
ReplyDeleteThe Holly Bible talks about the effects of alcohol and what come out from alcohol
ReplyDeleteA. Prov.20:1 - It deceives the mind. Isa.28:1-3, 7-8 – It causes errors in judgment
B. Hab.2:15 - It lowers moral standards
C. Prov.23:29-33 - Detailed description of the effects, bite like serpent.
D. Deutoronomy.29:6. Were forbidden to Israel in wilderness.
E. Isa.56:12. Deceive thinking future is going to be alright.
F. Prov.21:17 increase poverties.
G. Dan.1:8 Wine defiles.
H. Lev.10:8-10 wine make one unclean or unholy.
I. Prov.31:45, wine make people to forget the law.
J. It is addictive. A person under its influence would do just about anything for another drink - Joel 3:3
K. A woe is pronounced on those who drink continually – Isa.5:11, Isa.5:22
L. The kingdom of Babylon was destroyed while King Belshazzar attended a drunken feast - Dan 5:1-4, 30
M. Luke 12:45-46 - The unfaithful steward gives himself over to drink
N. You cannot be sober, vigilant while drunk or suffering from a hangover - Luke 21:34
O. Drunkenness is firmly condemned among Christians - I Cor.5:11; I Cor.6:9-10
Scientific Result of getting drunker and drinking.
a. Causes depression, moodiness, contentions
b. It loosens the tongue
c. You injure yourself and don’t feel it or remember the event
d. Redness of the eyes
e. Broke homes
f. Prostitutions
g. Death.
h. Crime
i. Traffic accident.
j. Corruption.
k. Delinquency
l. the unborn child intoxicated as the mother drink
Bible cannot approve things that will cause one to sin, no one know how much is much to drink, in fact I Tim 5:23, Luke 10:34, is not approval for casual use, We need to be sober minded - I Thess.5:5-9, this is one of the things Christians no longer do, after becoming Christian. I Pet. 4:3-4.
He is confuse need medical tension someone help him please.
unapougua ukimwi unapata magonjwa nyemelezi, yaani magonjwa yasiyouwa kirahisi, sasa huyo bwana baada ya ukimwi akapata majipu nk,sasa limefuata kichaa hatujui kitakachofuata, may b kuvimba miguu,maana anaogopa hata kupima Hiv tena, mwambie akapime ajitambue.na anadharau dawa siku ukimpiga hatajuta
ReplyDeleteI want to treat him very fairly, ok!
ReplyDeleteThis is not Christianity and can't Islam or any other respected religions. It's purely satanic. The apostle is a super comedian and real joker.
He can preach anything he wants but not misleading people on the deadly disease. He got it wrong, absolutely wrong.
Him and Salman Rushdie share the same religion.
People be careful.
........HIVI SERIKALI YETU IPO WAPI KWA WATU KAMA HAWA WANAOPOTOSHA JAMII KWA MAKUSUDI KABISA KAMA KUSEMA POMBE INATIBU UKIMWI & KANSA etc.?
ReplyDeleteMichuzi blog yako inapendwa na wengi, Na unahaki ya kuweka kitu chochote kwenye blog yako... ila ingekuwa ni hekima kidogo kuangalia kitu unachoweka kwani kinaweza kikaathiri watanzania zaidi ya tunavyodhani ukiachana na mambo ya dini, haya mambo mengine ya kupotosha jamii sidhani kama yanafaa kutangazwa hata kama tunachukulia kama ni utani tu.
ReplyDeleteThe guy is right.
ReplyDeleteKwa imani yake yuko 100% good. Ndio maana kuna madhehebu mengi duniani na dini nyingi kutokana na kila mtu kuchagua anachotaka.
Free spichi, free mind na free belief.
No one is better than him coz we are even not better than other believers.
Bravo Michuzi usiye mbaguzi. Tusijifanye tunabusara ya kujua baya na zuri wakati wote tu waovu na tunagawanyika madhehebu kutokana na mafundisho binafsi kama haya.
Jamaa ankupigia aleluya alafu anashushia na Mbuyu ( safari, mkongwe since 1976).......!Hii sasa ni misuse ya freedom of speech. Mwisho atahalalisha bangi na powder.
ReplyDeleteWasio nakazi yakufanya ndio wanamkodolea macho anajiona hero!
WALE WOTE WANAOMSHAURI ANKAL MICHUZI ASIWEKE HII HABARI YA NABII HAPA WANAKOSEA. ANKAL WEKA HABARI BILA KUCHAGUA ILI MRADI TU HABARI HIYO IMETOKEA SIO YA KUBUNI WALA YA UONGO. HAPA JAMAA ANAHUBURI NA WATU WANAMUONA. KWA HIYO SISI WENGINE AMBAO HATUJAMUONA TUNAFARIJIKA KWA KUPATA HABARI HII KUPITIA BLOG HII YA JAMII. HONGERA SANA ANKAL KWA KUTUPASHI HASA SISI TULIO HUKU NCHI ZA MBALI.
ReplyDeleteHIVI BASI CHA MUHIMU HAPA NI KWA MSOMAJI KUCHAMBUA CHUYA NA MCHELE. KAZI YA ANKAL NI KUTAFUTA NA KUWEKA HABARI KWENYE MTANDAO.
JAMBO LINGINE HII HABARI IMESAIDIA WATU KUFIKIRIA MAMBO MENGI SANA KAMA VILE UKIMWI NA JINSI YA KUJIKINGA NAO, MUNGU, YESU NA DINI ZOTE KWA UJUMLA WAKE, MADHARA YA POMBE, UPOTESHAJI WA JAMII NA SHERIA, SERIKALI INAFANYA NINI KUDHIBITI WATU WANAPOTESHA JAMII. WATU WENYEWE WANAOMSIKILIZA HUYU JAMAA WANA MAONI GANI, N.K.
SASA TUNAWEZA KUONA KWAMBA BILA YA HII HABARI BONGO ZETU ZISINGEFANYA HIYO KAZI YA UCHAMBUZI.
MG
huyu wala haihitaji muda kufikiri sana kutambua kuwa ni mgonjwa wa akili na anahitaji kupelekwa hospitali kutibiwa. nafahamu hapo tanzania itakuwa sio rahisi kwa ndugu zake au watu wengine kumpeleka,lakini angekuwa nje hasa huku ulaya alipaswa kitiwa medical emergency services waje na watu wao wa usalama wanamchukuwa kwa nguvu na kumpeleka akaanze matibabu.
ReplyDeletehe is seriously sick na sio wa kumcheka. naomba mlio karibu naye mchukueni kwa nguvu na polisi mmpeleke muhimbili au mirembe kwa kushirikiana na polisi. akishapona hayo yatakuwa ni ndoto tu.ila kwa sasa huwezi jidanganya kumwambia aende mwenyewe maana hatakubali kuwa anamatatizo na hayaoni pia kwakuwa hata wengi pia hapo hamyaoni mnaona tu kama anadhihaki,ni nabii wa uongo etc. nabii wa uongo wapo lakini huwa sio kwa style hiyo,wao hata huwezi ku discarn kirahisi mafundisho na technics zao,maana wako motivated na vitu vingine kabisa behind their teachings. ila huyu he is just what he is plainly!!! so help the guy!!!mwanzoni nilidhani anatafuta sifa na jina ili aingie baadaye ktk siasa,ila kwa sasa nilipoona hii nimetambua ni mgonjwa.
Naam,hakuna haja ya ku- speculate kuwa ama ni mgonjwa au mwenye akili zilizopitiliza au wakala wa kampuni fulani.
ReplyDeleteHakuna haja ya kupambana naye kupitia Biblia maana ana tafsiri zake ambazo ni tofauti na zile ambazo wengine tumefundishwa toka Children Sunday School.
Cha msingi hapa ni kumsongeza kwenye sheria ili naye alete zake na bahati nzuri kazi ya tafsiri haitakuwa yetu bali mahakama.
Hakimu aliye tayari kuchukuwa kesi ya Umma dhidi ya Ndg.Tito tuwasiliane.
Mashitaka dhidi yake:
1. Kupotosha maelekezo ya sera ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi ya 2001 na juhudi za Tume ya Kupambana na Ukimwi iliyoundwa kwa sheria ya nchi ya 2001 juu ya namna ya kujikinga na ugonjwa wa ukimwi na pia kutangaza Tiba mbadala isiyo rasmi na isiyothibitika ya kuzuia / kuponya malaria nchini kinyume na Mkakati wa kutokomeza Maralia wa 2009 na mashauri ya wataalamu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii nchini.
2. Kutangaza, kuhamasisha na kuleta mwamko wa matumizi ya pombe ZA AINA ZOTE hadharani kuwa ni halali na salama kinyumme na sheria namba 5 ya 1995 na Marekebisho yake na sheria ya Vyakula, Madawa na Vipodozi ya 2003 na sera ya Taifa ya kudhibiti madawa ya kulevya nchini na maelekezo ya TFDA ambapo kuna aina ya pombe (Vileo)kama gongo n.k ambazo si halali kusambazwa wala kutumika. Hii haijalishi hata kama umekunywa bila kulewa.
Michuzi nikusanyie data kamili za siku, tarehe na mahala alipohubiri haya au kama anaendelea pia ni vyema nijue ili kukamilisha tungo- shtaka.
Mwanasheria wa kujitolea kuwakilisha umma kupitia blogu ya Michuzi.
Michuzi umefanya vizuri kutoa hii habari ya "Nabii Tito". Sisi wakristo hatuamimi katika kuuwa wenye imani inayopingana na sisi.
ReplyDeleteMambo ya kuuwa wenye Imani zilizo kinyume na zetu tunawaachia wa dini zingine. Sisi tukishaona mtu ana matatizo tunajitahidi kuelimisha wengine wasipotoshwe na pia tunajitahidi kumsaidia huyo mtu kama ni mtu wa kusaidika,
watu wengi wanasema kuwa Watanzania hawana kazi(busy) ndio maana wamekaa hapo na kumsikiliza huyu Twat!, lakini mi sioni tofauti kubwa sana kati ya hao jamaa na sisi tuliotaka kujuwa anachosema kupitia mtandao,kwahiyo acheni zalau kwanza, pili huyu jamaa kwa ushauri wa bure ingebidi akamatwe na akafunguliwe file Muhimbili, ndugu na jamaa zake chonde chonde muaini kabla ajapotea kabisa kwani yupo katika stage za mwanzo za wazimu
ReplyDeleteMdau,
Barking
nabii tito shukuru Mungu uko upande wa kina Paulo laiti ungekuwa kaka zangu na dada zangu hakika mtu angekuja kujitoa muhanga hapo hapo
ReplyDeletemaskini nabii tito njaa inakusumbua pole baba tunakuombea ROHO MTAKATIFU akufungue ili urudi kwenye utu wa kawaida
ReplyDeleteukisoma biblia vizuri ni kuwa hata mafarisayo na masadukayo walimtukana na kumdhihaki BWANA lakini biblia inakiri kuwa YESU NI BWANA WA MABWANA,MFALME WA WAFALME
ReplyDeletewewe nabii tito hata shule hauna uliza kuna mtu anaitwa salmani ahmed rushidie jamaa ni msomi alijaribu kutoa maoni kuhusu dini fulani hadi leo jamaa anaishi mafichoni huko london wewe una bahati sana ndugu yangu
ReplyDeleteSense of humor! Walau anafanya watu wacheke kuliko Mafisadi na wana Siasa waongo wenye kumwanga sera mbovu au za Uongo kama vile "Dar bila Mbu/ Malaria inawezeakana..." huku Pesa zikitafuna kwa vitu vya hovyo kma safari nje ya nchi za wajumbe lukuki, utafikiri ngoma ya mdudiko unipita buguruni au Tandale. Huyu Jamaa ni wazi anayo akili tenge lakini ni Kioo cha akili za wapiga kura wetu wa Tanzania, hata kusimama kubishana naye unaonyesha wazi kuwa nawe kidogo hupo tenge kiakili na unaweza kundanganywa na wengi. Lakini huyu "nabii" Tito mwambie mahubiri yake yasiguse Dini ya Kiislamu na Mtume wake, maana ataanza safari mapema ya kupelekwa makaburini, hatapigwa panga la jasba!
ReplyDeleteAnaeleza ukweli wa dini yake! lakini mwache aguse msahafu afanye hayo aone!!! Tanzania kweli kuna uhuru wa kuongea,hii ndio democrasia jamani,sasa mbona watu wanaabudu ngombe hamsemi wanakashifu? Huyu hajasema yeye ni Dini gani mbona wakristo wanalalamika sana jamani? Kusoma bibilia sio dini jamani kwa kuwa bibilia ni mkusanyiko tu wa vitabu na hakina mtume wa dini yoyote alopewa acheni ghazabu huyu kaoteshwa jamani
ReplyDeleteDu hii blogu ina vichwa; Hivi huyu Mtoto wa Coast ni nani au ni anko michuzi mwenyewe.
ReplyDeleteJamaa huwaga ananifurahisha sana.
Nabii Tito I LOVE YOUUUUUUUUU!
ReplyDelete