Katibu mkuu wa Wizara ya Miundombinu Mhandisi Omari Chambo akiwa ameambatana na meneja mradi wa kampuni ya AM A Kharaf and Sung kuangalia sehemu inayoendelea kufanyiwa marekebisho katika barabara ya Ndundu Somanga yenye urefu wa kilometa 60 kwa kiwango cha lami leo. Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kwa kweli wajitahidi sana coz hicho kipande inasikitisha sana wk mbili zilizo pita sie tulilala hapo coz loli lilikwama na hicho kipande ni kiefu sana udongo wake unanata mvua ikinyesha ila kutoka lindi kuja mpaka pale maliasili haa lami tupu ila ukianza hicho kipande ni mwendo wa masaa matano hadi sita so wajitahidi kukimaliza aipendezi mtu unatoka safari unategemea ufike siku hiyo hiyo then unalala njiani kwa kweli inasikitisha sanaa coz kunakuwa na wagonjwa wasiojiweza,mama wenye watoto wadogo na inakuwa mtu ubebi chakula cha kutosha kusema unakula njiani so ikifika maeneo hayo km mmekwama mnauziwa asmaki tu toka nangurukuru na bei wanapandisha so samaki mtu huwezi kushiba kabisaaaaaaaa na hata wenye mabasi yao mazuri sio rahisi kuleta huko kama barabara yeneyewe haitaisha.Then huwezi aminijamani njia hiyo nauli yake ni elfu 22,000 mpaka rwanga ila ankari hadi mabegi unalipia kweli tutafika begi lako mwenyewe abiria siti unalipia na begi pia??????????huku kusini sijui kutaendelea lini jamaniiiiiiii

    ReplyDelete
  2. acheni utani nyie, barabara ya lami inakuwa na matuta ya namna hiyo pembeni ya barabara? hakuna hata dalili ya mitalo wala njia za kupita watembea kwa miguu.
    hapo ninahesabu ni uongo. tupo hapa,mtakuja kusema.
    mungu bariki Tanzania.
    mdau

    ReplyDelete
  3. ndugu yangu uliyoyaeleza tayari ni maendeleo kwa huko kusini hasa hiyo barabara.hiyo hatua kubwa sana ukilingaanisha na time ya nyerere na kawawa,sasa hiyo kama motorway uingereza,tuendelee kusubiri labda mabadiliko yakuja zaidi ya hayo,mungu ibariki bongo na mafisadi wake ameeeeeeeeeen

    ReplyDelete
  4. Omari katumbo hako ni mimba miezi tisa. Fanya mazoezi man, punguza bia nyama choma na mayai.

    ReplyDelete
  5. UPUMBAVU MTUPU...OMARY NAWE UMEKUWA MWANASIASA???? HAPO KUNA ISHU YA LAMI KWELI??......KM 60 NI WIMBO TULIOUZOWEA TANGU KABLA YA ENZI ZA MAKUFULI....SIJUI VICHWANI MWENU KUNA NINI NYIE VIONGOZI WETU

    ReplyDelete
  6. Huyo mzungu anatembea kinamna namna, inakuwaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...