Lovely Gamble Promo

Salama Ankal
Pole sana na Mihangaiko ya kila siku. Ningependa kuwataarifu wadau wote kuwa ile muvi inasubiriwa kwa hamu sana ya Lovely Gamble itatua bongo ndani ya club Billicanas jijini Dar tarehe 28th April, 2010 na huku mji wa kusoma (Reading) ni 29th May, 2010
Hapa pana documentary ikiwa na Intavyuu ya waheshimiwa Emmanuel Nchimbi na Amosi Makala wakitoa maoni yao Kuhusu Lovely Gamble. Chini ni trailer yake. Libeneke oye!

http://www.youtube.com/watch?v=TJTYAS_cNpI
Pamoja na Trailer yake
http://www.youtube.com/watch?v=zNltrI096hU

mdau
Frank Eyembe
Urban Pulse Creative

Lovely Gamble Trailer

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kanumba kazi nzuri sana ila endelea kuimprove kizungu kuanzia pronouciation , u will be great, kama unavyojiita the great

    ReplyDelete
  2. Kanumba upo juu, keep it up! Utafika tu, you don't have 2 worry maneno ya waswahili, ndiyo tupo hivyohivyo hatuachi kutoa kasoro!

    ReplyDelete
  3. Tehe tehe ,eti we should stop this cheating business.tehe tehe raha tuuuupu

    ReplyDelete
  4. Make Up nyingi mpaka zinatia kinyaa. kujitahidi si kuiga utamaduni wa magharibi.

    ReplyDelete
  5. yeah mowie imetulia...safi sana kanumba naona umepiga hatua moja kali ,nakupongeza sana....je uku Ujerumani itazinduliwa lini???...naona wadau wa uku wamesaulika

    Mdau ,
    Network Eng.
    Dresden-Germany

    ReplyDelete
  6. frank anapenda matanuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...