Kuna wadau wamekuwa wakisaka sera ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TECHNOHAMA) Tanzania.
Ifuatayo katika link hii chini ndio sera yenyewe
http://www.ethinktanktz.org/esecretariat/DocArchive/Tz%20National%20ICT%20Policy%20%28March%202003%29.pdf
Hivi sera zinatakiwa kuwa zinaangaliwa upya na kurekebishwa kila baada ya muda gani? hasa sera ktk secta ya teknohama inayobadilika kwa kasi sana?
ReplyDeletenashukuru kuiweka hapa, ila kwangu mie kama mdau wa ICT hii imepitwa na wakati kabla haijatekelezwa. kama mdau hapo juu alivyoshauri sera za ICT hubadilika haraka. niseme kuwa kwa kawaida uwekezaji na sera za ICT huangalia miaka mitano. kwa maana hiyo sera ya 2003 kwa sasa sidhani kama bado inafaa.
ReplyDeleteThis policy need an amendment as it has now become Obsolete eg STATUS OF ICT IN TANZANIA..it provide 7years back statistics.It has to be updated
ReplyDeleteSenior IT Systems Analyst
Arusha
Nashukuru kwa kuipata mana nilikuwa naitafuta muda mrefu bila mafanikio bali sasa nafurahi kuipata.Sasa naomba tupatie Sera za utumishi za watu wa IT Serikalini.
ReplyDelete