vijana wa kazi wa huduma za siri wakiingia neshno
sehemu ya umati uliohudhuria sherehe za muungano leo

ras makunja kazini
sehemu ya wahudhuriaji
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiwa na Spika Mh. Samwel Sitta na kulia ni Mama Shadya Karume
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa na Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Mr Shamsi Vuai Nahodha (shoto) na Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mpaka akiwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh. Kificho, Spika wa Bunge la Jamhuri Mh. Samwel Sita na Mama Shadya Karume
Mh. Lucy Mayenga, Mbunge wa Kuteuliwa, akiwa sherehni

Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Shariff Hamad wakiwa na wahudhuriaji wengine
sehemu ya mabalozi wa nchi mbaimbali










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Mungu wangu,ras makunja gitaa lako!!!!!ulivyolishika,ahaaaa! sijui mlio wake ukoje

    ReplyDelete
  2. ras makunja mie gitaa lako ulilobeba nimefika bei,niuzie?

    ReplyDelete
  3. eh bwana ras makunja,naomba kuliza kuhusu kisu chako cha kiunoni kizuri sijui kama unawekuniazima?harafu nikurudishie

    ReplyDelete
  4. Kaka ras makunja hiyo ndio miwani ulipowa zawadi na baba wa kambo?umependeza,harafu kisu chako cha mkunjo kiunoni.

    ReplyDelete
  5. kaka ras makunja hivi karibuni kwetu kutakuwa na harusi ya dadaangu ninawahitaji mje kupiga mziki na gitaa lako ili tafadhali yakhe usikose kuja nalo,ukija nalo najua mziki utakuwa mtamu mno

    ReplyDelete
  6. kaka ras makunja gitaa si linatosha
    sasa mbona kiunoni una kidumbaki?vipi mziki wake utakuaje kaka

    ReplyDelete
  7. Mziki mnene ras, du halafu mwenyewe uko ndani ya bullet proof.

    ReplyDelete
  8. hii picha #1 sijaipenda kabisa

    jamani?kwani one-ten hazipo,afu kusimama uko na misuti ndo nini?

    Mungu ubariki muungano wetu udumu milele na wote wenye nia mbaya ya kuuvunja na wafe!!
    ila tukae chini na kuweka sera/sheria za jinsi ya muungano uweje maana tunaburuzana kama wote hatuna akili (mambo...ya muungano)
    amen

    ReplyDelete
  9. HIYO NI BODY ARMER SI BULLET PROOF KWANI RISASI INAWEZA KUPENYA ILA HIYO BODY ARMER INAWEZA KUPUNGUZA SPEED YA RISASI IKAFANYA MADHARAFU PUNGUFU.

    ReplyDelete
  10. Muungano mwema waTanzania wote. Sasa nimefikia pahala ambapo na mimi nauunga mkono Muungano wetu mia kwa mia, japo hapo awali nilikuwa naupinga. Nchi za mabeparu zitupinge na kutuvuruga, je na hata sie wenyewe kwa wenyewe tuvurugane? Muungano na udumu! Wazee wetu waanzilishi waliona mbali. Sherehe pia ilifana, hao wahudhuriaji waliojipanga kwa rangi ya bendera yetu ya Tanzania wamenoga. Nimefurahi pia kuona watu adimu kuwaona hadharani kama akina Mzee Mkapa. Muungano, Daima!

    ReplyDelete
  11. MICHUZI chombe chombe kaka message yangu isiitie shimoni.

    Ningependa kuwakilisha kwa upande wa vijana wenzangu wa ZANZIBAR.

    Ujumbe tunaokupeni jirani zetu ni kuwa daima hatujaukubali ,hatuukubali na hatutoukubali huu mnaouita muungano.
    Kwetu WAZANZIBARI tunauhisabu kuwa Tanganyika ni mkoloni wa Taifa letu la ZANZIBAR.
    Jitihada za kuikomboa nchi yetu ya ZANZIBAR zishaanzishwa na tunauhakikishia uma wa kuwa tutaikomboa zanzibar kwa hiyari ama kwa shari.

    Allah ibariki ZANZIBAR.
    Allah wabariki WAZANZIBARI.

    ReplyDelete
  12. Ras kweli kamanda tuongee mie nimependa sana kipapatiao cha kuku iko kiunoni kama kunauwezakano tuongee mkubwa

    ReplyDelete
  13. Kwako kamanda mkuu ras makunja,kaka hongerea sana kwa pamba ulipiga leo,umetoka kwatu tena chicha kweli,yaani umwashinda hao waheshimiwa wote na suti zao,
    suti yako wewe mali tupu umependeza kweli,hii suti usimwazime mutu yeyote,harafu gitaa lako mkononi eh! bwana he! safi sana,

    ReplyDelete
  14. RAS MAKUNJA NAONA UMESHIKA GITAA LAKO!KUMBE UMESHAPATA KILI AWARD!?
    NAIONA KIUNONI
    AWARD YAKO NZURI

    ReplyDelete
  15. sasa mchizi wangu ras makunja mbona hatuambizani katika minuso
    si nami ngukuwa sambamba nawe,
    unachonishangaza kile cha wewe kubaguliwa au umejibagua wenzio wako jukwaani wewe mbona uko peke yako na gitaa lako.tabia yako hii ya kujiweka pemmbeni kamanda acha jichanganye nawenzio

    ReplyDelete
  16. wewe unayejiita sedouf, ebu sikizakijana. duaa la kuku halimpati mwewe.

    ako kanzanzibaa tulisha kachukua, hakuna anayeweza kufurukuta. Embu wauliza waajentina kilichowapata walivyojaribu kuleta fyoko kule visiwa vya mama vya Fooklendi.

    Wewe tulia tu, fanya shughuli zako ule, upipi, ukake na kisha ukalale.


    Kidumu sisieeemm, zindumu miungano. Kidumuuuu

    ReplyDelete
  17. RAS MAKUNJA LEO UMIJIKOKI NA ZANA ZAKO ZA MZIKI GITAA MKONONI! EMPFIRE KIFUANI,KIGOMA KIDUMBAKI KIUNONI HARAFU UKO PEMBENI UTAKI KERO!

    ReplyDelete
  18. Mimi naona pia, Muungano wetu tungezidi kuuenzi kwa kurudi kwenye siasa za chama kimoja, sema kuwe kuna system nzuri ya Checks and Balance. Tusiendelee kugombana na kuuana sisi kwa sisi, tu kitu kimoja, hata hii mipaka yote ya nchi zetu iliwekwa na mkoloni. Tuamke jama! Wakoloni wanatufaidi jama!

    ReplyDelete
  19. TAMKO LA RAS MAKUNJA
    Ndugu wazee wa baraza na wadau wote shukurani sana kwa maoni yenu,katika baraza hii ya globu ya jamii,pia shukurani kwa Ankal Mzee wa libeneke.
    Napenda kutoa tamko au kuwajibu wale walio uliza na pengine kufika bei kuhusu Gitaa langu hili aina banjo,jamani chonde chonde! haliuzwi narudia tena gitaa haliuzwi.
    Pia kuhusu Kili Award au kisu aina ya okapi yangu hiyo kiunoni hii
    pia sio biashara,kwani ni urithi wa marehemu babu.
    kuhusu Pamba ndugu zangu pamba au gwanda pia sio biashara na ole wenu kama kuna kijana atakayekuja kupitia mlango wa uwani na kuanua.
    Mwisho tutachoweza kushea na nyinyi ni "Supu ya Mawe" na "Bongo Tambarale"
    ni mimi mtumishi wenu
    Kamanda Ras Makunja

    ReplyDelete
  20. PETER NALITOLELAApril 27, 2010

    BREAKING NEWS ..........TANZANIAN JAILED IN UK....!

    A 27-YEAR OLD Tanzanian man has been jailed for 27 months in the United Kingdom for keeping a young woman imprisoned in his car in a ’’terrifying’’ ordeal after she refused his demands for sex.

    The Wolverhampton Crown Court heard how Tanzanian student Khalid Kajun, of Roseland Avenue in Wolverhampton, had put the young victim through a ’’dreadful and unpleasant’’ experience which left her feeling vulnerable and anxious in the company of men.

    Kajun is reported to have admitted assault and false imprisonment, and was jailed by Judge Sybil Thomas on Friday last week.

    Latest media reports from the UK say Kajun had been out drinking with the woman and other friends, and later that evening - instead of driving her home - he took the girl to his own house.

    The Prosecutor, Simon Davis, said while Kajun felt there was some chance of sexual contact, the woman apparently considered him just a friend.

    According to the prosecution, Kajun told her: ’’You are coming into the house’’and would not take no for an answer. The woman could not escape out of the Toyota Celica because he had parked it right next to a wall.

    It was stated in court that Kajun told the woman he wanted sex with her, but she refused ’’in no uncertain terms’’, only for Kajun to grab her roughly and cause bruising to her legs and arms.

    The woman then threatened to break one of the car windows, but Kajun produced a screwdriver which is said to have made her extremely frightened.

    She begged for him to let her go, and finally managed to escape by climbing over him, getting out of the driver’s door, and running to a nearby house for help.

    The prosecution said after the police were informed, they went to Kajun�s house and seized the car without his knowledge. And when he went to the police to report his car stolen, he was arrested.

    In sentencing, the judge told the defendant that the psychological damage he inflicted on the woman was considerable, and recommended that he be deported back to his native Tanzania once he completed his sentence.

    Kajun’’s lawyer, Gurdeep Garcha, said the defendant had ’’completely misread the situation’’ and wanted to return to his home country to put the whole incident behind him.

    ReplyDelete
  21. Mimi nimeoza hapo kwenye hicho kifaa Mbunge wa viti maalum Mhe.Lucy Mayenga...huo mwanya,lo...mimi natangaza niko singo ,jamani mwenye dataz huyu mheshimiwa kaolewa?

    Halafu Ankal,ulivo na wivu najua utanibania hii comment.Wewe si ushao,zamu yako ishapita kaka wacha mimi nijichakatulie huu mchakato wa kuoa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...