FFU wakipita mbele ya jukwaa kuu kwa ukakamavu wao wa siku zote
Kofia imevuka lakini askali huyu wa Magereza anapiga kwata tu, machooooozzzz mbele!!

Kiapo cha utii
sarakasi ya vijana wadogo
ng ngoma ya kuagua mzuka toka pemba





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. walionikuna saana ni hao FFU ebu cheki suruali inatamani ichomoke mguuni lakini wapi hadi na suruali zimekakamaa loo shughuli ilikuwa pevu ni wakakamavu haswa

    ReplyDelete
  2. kamanda ras vipi?nduguyo mmoja kofia imevuka? au ndio stail yenu siku hizi

    ReplyDelete
  3. Ngoma Afrika mmependeza na sebene lenu hili,jakaya kikwete!jakaya Kikwete!

    ReplyDelete
  4. eh bwana ras makunja,kwanza hongera sana yaani uwongo mbaya PAMBA kaka zimekutoa chicha,kingine miwani yako safi kabisa,gitaa uliobeba mmmmm!mziki wake ndio maana unatisha.sasa gitaa la aina hii duka gani naweza kulipata nami nijidai?
    maana kaka umetoka mchicha

    ReplyDelete
  5. jamani wazanzibar wanasema tunawaonea katika muungano sasa mnaonaje kama tukauvunja muungano kwani una malalamishi sana kama nini tuwaachie Zanzibar yao na sisi bara yetu kwani sioni hata mafanikio yake ni malalamiko tuuuuu

    ReplyDelete
  6. ivi wanalipwa allowances/per diems/kifuta jasho kwa kuja kuchapa buti na kuungua na jua??
    shilingi ngapi?

    naitaji kufahamu tu

    ReplyDelete
  7. bunduki ya ras makunja,inaweza kununua vitanda 50 vya hospitali

    ReplyDelete
  8. Ushuhuda. Ukweli huwa unatambuliwa na watu wachache walio na kipaji cha kuona mbali kama mimi na wengine wachache sana.

    Kwamba katika nchi hii hakuna amani kabisaaa. Unabishaa? Ni wapi kwenye amani waweza kuona askari waliosheheni zana kama hizo za Bob Ras? Thubutuuu!

    Hii inadhihirisha kuwa amani isemwayo kuwa ipo ni ya kuchongwa tu, si ya kweli.

    Vinginevyo basi viongozi wana hofu kubwa sana ya kudhuriwa kutokana na jinsi wanavyoji evalueti kutokana na matendo yao. Wanajiona kuwa wanaweza kuvamiwa wakati wowote.

    La sivyoo, basi hawawajali watu waishio Tanzania (watanzania ni wachache sana yaani wale walio madarakani pamoja na familia zao), hivyo basi hawajali kutumia mapesa kibao kununua silaha za kujilinda wao! Ndio atii, unafikiri kuwa hizo silaha ni za kulinda walalahoi?

    Chiazzz!

    ReplyDelete
  9. wadau wengine wanaona kijicho heti kwa kuwa Ras MAKUNJA anapamba mpya na gitaa lake kiunoni award yake KILI MUSIC,mziki mkubwa

    ReplyDelete
  10. Yule Mbogela aliyekuwa anapotosha watu (kwenye maoni ya salamu toka Senegal) kuhusu rangi ya Bluu kwenye bendera eti inakuwa upande wa mlingoti,aangalie hapa ndio atapata majibu.

    ReplyDelete
  11. Ankal,hayo walojifunga wacheza ngoma ni mahirizi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...