Mgeni rasmi Profesa Juma Kapuya akisalimia wachezaji wa simba kabla ya pambano lao na Lengthens ya Zimbabwe katika Uwanja wa Uhuru. Simba ilisinda 2-1 na kjusonga mbele kwenye kinyang'anyiro cha Kombe la Shrikisho la soka afrika
wachezaji wa Simba na Lengthens ya Zimbabwe wakisalimiana kabla ya pambano lao
Mshambuliaji wa Simba, Mussa Hassani Mgosi (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Lengthens ya Zimbabwe, Mike Mhungu katika mchezo wa Kmbe la Shirikisho uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (katikati) akiipangua ngome ya Lengthens ya Zimbabwe katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo . Kushoto ni kipa wa Lengthens, Muzondiwa Conese na Ndumiso Khanye.
hatari langoni pa Lengthens




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...