Home
Unlabelled
TAIFA QUEENS YAENDA UKEREWE KWA MAZOEZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuh!!!! hawa mechi watachezea wapi twende kuangalia-sisi tumesahaukama mchezo wa netballbado upo
ReplyDeletetusubiri habari ni wangapi watajichimbia hahaha hahaha!
ReplyDeletehongereni sana uongozi mpya wa chama cha netiboli, jitihada zenu tunaziona!
ReplyDeleteKWELI KABISA , UONGOZI MPYA UNAOKANA UNA JITIHADA FULANI.NI NADRA SANA KUTOKEA TIMU KUPELEKWA KUPATA MAFUNZO ULAYA. HIYO NDIO FAIDA YA MABADILIKO.
ReplyDeleteHONGERENI AKINA SHY-ROSENA WENZIO.
mZOZAJI
Hizi netball ipo UK pia. Nilizania ni mchezo wa Tanzania tu au labda East Africa tu?
ReplyDeleteSikujua hilo...
watanzania tuonyeshe mapenzi katika mchezo huu wa netball kama ilivyo kwa soka
ReplyDelete