B.C. businessman Peter Ash, who has albinism, talks to Zainabu, 13, an alibino girl in Tanzania. The Canadian businessman puts up $1-million to shut lucrative trade with African witch doctors
For Souce and Full Story

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. aibu kweli, wajanja tayari wanahaha ndimi zimewatoka leo hawalali, hizo hela zinatosha kuwasomesha albino zaidi 100 mpk chuo kikuu kutoka sekondari, watupe kwanza mkakati watazitumia vipi coz kuna maalbino viongozi nao matapeli

    ReplyDelete
  2. kaka michu vipi mboni hutuwekei habari ya kaka yetu hasheem akiwa vekesheni bongo?

    ReplyDelete
  3. Huu ni ushenzi. Watu mpaka unaona aibu kusema kuwa ni Mtanzania. Wanatakiwa wakamatwe wahusika na kuhukumiwa kifo.

    ReplyDelete
  4. What a shame an individual Mr. Ash has to 'step up to the plate' to do what should be done by our government??where are the Human rights in Tanzania?The country doesn't care or protect it's people GOD BLESS TANZANIA

    ReplyDelete
  5. Kwa wale waliokuwa wanabisha kuwa hamna wazungu maalbino, jibu lenu hilo hapo kwa huyo m-Canada.

    Anon uliyechangia mada kwa kiingereza, yani kiingereza chako hakijatulia ndugu yangu.

    Muungano Mema.

    ReplyDelete
  6. Nakubaliana na mdau hapo juu mia ya mia, kuwa tunataka kujua hizo hela zitatumika vipiii? sio tu msaada wa dakika moja au wa kuwasaidia albino wa 2 watatu hapana hizo ni hella nyingi sana jamani mkiangalia, MICHANGO MINGI INATOLEWAGA SANA TZ LAKINI KINACHOFANIKA CHA MAANA SIPATI JIBU HATA KIDOGO. ITS A BIG SHAME.

    ReplyDelete
  7. sehemu ya mstari kutoka katika hiyo 'website'...
    A recent survey found that 93 per cent of Tanzanians believe in witchcraft – the highest percentage in Africa. Witch doctors were banned by the government last year, yet many still operate freely.
    ... hii takwimu inaogopesha. Labda wangefafanua 'witchcraft' ni nini.

    ReplyDelete
  8. Watanzania, utu mmeupeleka wapi? Hebu tumia dakika kadhaa kufikiri ingalikuwa wewe ungejisikiaje? hauwezi kutoka nje usiku,wsi wasi kila saa kutokana na ufahamu ya kwamba unawindwa......Tujaribu kuwa binadamu.......

    Mdau MN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...