Naibu Waziri Kiongozi na ambaye pia Waziri wa Utamaduni na Michezo, Ali Juma Shamhuna, akimkabidhi Kombe Nahodha wa Timu ya Wete, Ali Badru, baada ya fainali ya Kombe la Muungano linalodhaminiwa na Vodacom Tanzania huko Unguja mwishon mwa wiki. Katika mchezo huo Wete ilishinda 3-0 na kutwaa kombe hilo. Mkurugenzi wa Masoko wa VodacomTanzania, Ephraim Mafuru akimvisha medali ya Shaba mmoja wa wachezaji wa Timu ya MUCOBA ya Mufindi baada mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano linalodhaminiwa na Vodacom Tanzania kati ya timu hiyo na Wete ya Pemba katika mchezo huo, wete ilishinda.
Wachezaji wa Wete wakishangilia ushindi wa baada kutwaa Kombe la Muungano baada ya kuikandamiza bila huruma timu MUCOBA ya Mufindi.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...