Mamaa Dontinata akigonganisha glasi ya champeni na Allan Kalinga, mmoja wa Maprodyuza wa filamu ya Lovely Gamble iliyozinduliwa usiku wa kuamkia leo Club Billicanas jijini Dar
Mwenyekiti Mtendaji wa African Stars Entertainment Bw. Baraka Msiilwa (kulia) akimtunuku hati Allan Kallinga huku prodyuza mwenzie Da'Asha Baraka akisherehesha

Stelingi mkuu wa Lovely Gamble Steve Kanumba the Great akipokea hati yake huku MC Claude akisherehesha
Steve Kanumba the Great akila pozi na Baraka Msiilwa. Nyuma yao ni Da'Asha na MC Claude
Club Billicanas palikuwa hapatoshi
Da'Asha akiwasili na kausafiri kake
foleni ya kuingilia ndani
We Amos una ngapi...? Aboubakar Liongo na wadau wengine wakichangishana kiingilio.
Da' Asha na wadau kabla ya kuingia ukumbini
Papaa Mussa Kissoky na kikosi kazi chake cha Sofia Productions walirekodi kila tukio
Mwenyekiti Mtendaji wa Clouds Media Group Joseph Kusaga (shoto) na Mkurugenzi Ruge Mutahaba walikuwepo kwenye uzinduzi wa Lovely Gamble
Papaa Amos Msanjila akiwa kawekwa kati na Stev Kanumba na Allan Kalinga
Meza kuu
wadau wakichill..
Toka shoto ni Angetile Osiah, Masoud Bitebo, Kelvin Twissa na Aboubakar Liongo
magwiji wa tasnia ya filamu walikuwepo pia
stelingi wa kike aliyecheza Lovely Gamble, Mecky (kulia) akiwa na wadau
Papaa Baraka Msiilwa akipozi na wadau
wasanii nyota walikuwepo pia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. yAANI CLASSIS!

    ReplyDelete
  2. yAANI GLOBAL CRISIS!

    ReplyDelete
  3. Hivi huyo Papaa Baraka Msiilwa ameoa au yuko single? Miye na mind kishenzi? Anatabasamu poa sana

    ReplyDelete
  4. ameoa siku nyingii tena ana watoto wakubwa kama wewe familia yake yaishi uk

    ReplyDelete
  5. Mwana FA vipi unasikia baridi ama?

    ReplyDelete
  6. TEHE!TEHE!!ETI FUNIKA BOVU AU KWAKUWA ASHA BARAKA ALIKUPA KACHETI KALE ILI UMFANYIE MATANGAZO!!
    PILI ASHA BARAKA AUNTI YETU UNATUTIA AIBU UTAKAAJE MBELE KWENYE LIMUZINI?AU LA KUKODI?
    MAANA KITU UKIWA HAUNA ASILI NACHO NI VICHEKESHO TU.
    HUU NI MTAZAMO TU MITHUPU USINIMAINDI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...