By Khairoon Abbas
Absence makes the heart grow fonder. For those of us who live away from the hustle and bustle of Dar-es-salaam, or anywhere else that we may call home, we constantly look forward to the day we step on home soil. I, like many other Tanzanian youth, left home years ago to pursue a higher education, with the aim of coming back home and helping my country and continent.

It is the sense of patriotism that inspires us to want to make a difference somehow in some way.


But how realistic are we being? The more I am away from home, the more I wonder, can we actually solve the problems that our continent is facing? How many of us will actually go back to make that difference and how many of us, will stay afar, because we feel our contribution won’t make an impact?

When you live abroad, especially in North America and Europe, the media constantly reminds you of the problems facing Africa, particularly, disease, poverty and bad governance. This is also the case living at home; you cannot escape from the reality of these issues.

Whatever the case, when you start thinking of solutions, you consequently find yourself limiting your solutions to these sorts of issues, telling yourself, I must find a cure for HIV/AIDS, I must find a way to help the poor, I must be a leader…but is this it? Why aren’t we challenging ourselves to think more broader, to explore solutions for challenges we may not see and do not hear about in the media?

For more
CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. We will respond with Trumpets!

    ReplyDelete
  2. It is high time that Africa realized that some nations can not exist without divide and rule.

    Tujiepushe na vi-baraka!

    ReplyDelete
  3. Afrika Kwanza!

    I am talking about Diamonds in the Soles of the Shoes!

    I have Nothing to Lose!!!

    ReplyDelete
  4. Nimetoa angalizo kwenye blogu ambayo huu mjadala unaendelea kwamba, kwa kuwa mada inahusu Tanzania na mnaoshangia ni watanzania, basi tutumie kiswahili. Hiki kiingereza ni njia mojawapo ya kukumbatia mambo ya nje na kusahau ya kwetu!!

    ReplyDelete
  5. Mimi ni mwandishi wa nakala hii. Kuandika nakala hii kwa kingereza haimaanishi hata kidogo kua sisi watanzania ambao tunaishi nje ya nji kua tunakumbatia mambo ya nje. Kuna watanzania wengi tu siku hizi ambao wanacommunicate vizuri zaidi kwa Kingereza. Mbona kuna nakala njingi tu kwenye hii blogu ya jamii ambazo zimeandikwa kwa kingereza. Naomba ubadilishe mawazo yako.

    Inabidi na sisi watanzania tuendelee kidogo na tuelewe kua kama tunataka maendelea lazima tujiunge na "global community" - and this involves communicating in English. Sasa naomba niwaulize, je watu wa Uganda na wakenya ambao wanaongea Kingereza kuliko hata lugha zao za kitaifa, je wamesahau mambo ya kwao au wameendelea kuliko sisi watanzania?

    ReplyDelete
  6. Mr. Khairoon,

    Usijisumbue. Wadayu wengi hapa hawana elimu ya juu, utakuta wamekaa kwenye cafe za Wahindi siku nzima wanawaponda wasomi na Watanzanania wanaoishi nje. Kuna msemo unasema " Aliyelala usimwamshe, au utalala wewe". Sisi tunaoishi na tuliosoma Kiingereza tangu shule za vidudu nyumbani, sekondari nyumbani na chuo kikuu Marekani, tunajua faida ya lugha ya Kiingereza. Tumesoma vizuri na tunakula jasho letu. Wale wanaotaka kusoma kwa Kiswahili, wasome. Wataona umuhimu wa lugha ya Malkia watakapoomba nafasi za kujiendeleza nje, utajua umuhimu wa kimatumbi katika mitihani ya TOEFL na TOEIC.

    PS...Hii ni mara ya pili napoteza muda wangu kupeleka maoni. Michuzi, kubana maoni ni moja ya kero kubwa la wadau, aidha heshima haki ya kutoa maoni bila matusi au badilisha bao hapo juu liseme "nitachapisha maoni ninayoyapenda mimi na CCM tu".

    ReplyDelete
  7. Mtoa mada, matumizi ya lugha kwenye MJADALA yanategemea walengwa wako. Hii ni tofauti na 'postings' za kawaida kwenye blogu. Kwetu watanzania, kama unalenga wasomi, kiingereza ni sawa. Kama unalenga watanzania wengi zaidi, ikijumuisha wasiosoma, kiswahili ni bora.Utakubaliana nami kwamba inaweza chukua muda zaidi kwa watanzania kutoa maoni yao kwa haraka na ufasaha, kwa kutumia Kiingereza zidi ya Kiswahili. Mimi vile vile ni mhamiaji wa siku nyingi tu huku Ulaya. Nchi niliyopo hatutumii Kiingereza, kwa hiyo sina shida nacho sana, wala hiyo TOEFL, etc. Nilidhani Kiswahili ndio kinatuunganisha wote, kama watanzania. Uganda na Kenya ni tofauti, sababu wengi wao wanaongea 'kiingereza,' ambacho hata hivyo ni cha kulazimisha na kisicho na ufasaha. Haya endelea na Lugha ya Malkia!

    ReplyDelete
  8. Hongera kwa ndugu Michuzi, mara ya kwanza nimesoma maoni yangu. ndo maana naendelea kuchangia. Kuhusu lugha gani watanzania tutumie, nadhani hilo ni suala la mitaala ya elimu. kwa upande mmoja kiingereza ni muhimu sana, kusema ukweli bila kiingereza leo hatuendi mahali popote. tunahitaji kiingereza kwa biashara na mikataba ya kimataifa.Hivyo lazima kiingereza kifundishwe ilivyo mashuleni.Hicho ndo kinachoniumiza kwani wengi wetu tunaongea lugha bila kujifunza kanuni zake-hilo ni tatizo letu kwa kingereza na kiswahili. Hivyo lazima watu wajifunze lugha ipasavyo. Ni ngumu sana kujifunza lugha nyingine kama hujui lugha yako. Hivyo mjadala wetu ni lugha gani itumike mi naona ni mzuri ila hautusaidii sisi watanzania wa leo kulingana na matatizo tuliyo nao. Tatizo letu leo ni lugha gani tunaongea vizuri , tukifuata kanuni zake. Kiswahili fasaha hakipo tanzania , ni kiswahili cha kuongea tu. Ukweli ni kwamba kuna watanzania wangapi wanafanya kazi kwenye vyombo vya habari kama BBc , VOA, na nk. ili unaongea kiswahili ndiyo ni vizuri , lazima uongeze lugha nyingine ambayo utaiongea kifasaha. that is the fact we cant do otherwise., we better face the reality. Mungu ibariki Tanzani.

    ReplyDelete
  9. Mimi ndio niliyeanzisha majadiliano kuhusu lugha kwenye huu mjadala. Naona baadhi ya wachangiaji hajapata hoja yangu: waingereza wanasema ‘missing the main point’ Matumizi ya lugha yanategemea lengo lako ni nini. Uamui ni wako. Nimesema kama lengo ni kuwahusisha wasomi, kiingereza kinafaa. Au kama lengo lako vile vile ni kuchangia matumizi ya kiingereza kwa ujumla na kwenye kuchangia mada, basi matumizi ya kiingereza ni muafaka. Kuandika ni kama mazungumzo tu, kama unapenda kuongea na watanzania wenzako kwa kiingereza, badala wa Kiswahili ni sawa, kutegemea na namna mtakavyoweza kuwasiliana. Kama unafanya utafiti kwa kiingereza na unataka kunukulu maoni ya watu moja kwa moja, Kiingereza ni muafaka. Lakini kama lengo lako ni kupata maoni ya watanzania wengi zaidi popote walipo na kuwawezesha KUJIELEZA KISAWASAWA, basi kiswahili ni muafaka. Kama mjadala huu ungekuwa kwenye semina inayohusisha watanzania, mngetumia Kiingereza!?. Nadhani mtakubaliana nami kwamba tangu nilipotoa wazo la kutumia Kiswahili kenye blogu ya vijana ambapo mjadala huu uko, wachangiaji wa Kiswahili wamekuwa wengi. Sababu sitakuwa tena na muda wa kuchangia hii mada, hasa kipengele cha umuhimu wa kutumia Kiswahili, napenda kutoa PONGEZI kwa mpendwa mtoa mada kwa kuleta mada hii muhimu. Vile vile ‘cartoon’ (nadhani Kiswahili ni ‘kibozo’) alichotumia kutambulisha hii mada kimesaidia sana...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...