Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamaa anaongea na Waziri huku miwani kaibenjulia kichwani! Kweli Bongo Ulaya Ulaya! Halafu Mazingira na Michezo wapi na wapi? Nadhani angebidi awe mgeni wa Mheshimiwa Bendera, kama sikosei. Ulaya Ulaya!
ReplyDeleteKajumlo sio utamaduni wetu huo kwenda kwa waziri na kaptura au jeans na malapa! Tunajua hela zipo lakini usiige sana, sio za kibongo hizo, au mnataka mi nije na KaWOsh yangu ya Gymn!! ahaha
ReplyDeleteMaendeleo siku hizi utamaduni umekuwa wa Ki Hip HOP umekuwa worldiwde! HIP Hop lization of other cultures! Marekani hiyo!! Waziri kitu gani bwana!
Who cares man!!
THIS IS WHY I LOVE THIS CHILDREN IS LOVING SOOO MUCH ITS COUNTRY NO ARE MANY INDIVIDUAL ESPECIALLY ACTUALLY FROM USA. HE IS GOT MONEY SO MANY MONEYS AND ARE COMING FORWARD HOME TO SHARE ITS INDIVIDUALS THAT IS CUMBERSOME. KAJUMULO I OURSELF WELCOME YOU AND IF YOU WANTS PLEASE JOIN ME TO DEVELOP MY FORMER SCHOOLS SANTA ANTONY MBAGALA AND MUZUMBE MULOGOLO WHEN I GRADUATED MY MASTERS OF ECONOMICS AND ITS HONORS. I STILL WORKING HARDEST TO EDUCATES AFRICANS TO BE LIKE ME WITH EDUCATION IS THE KEYS OF LIFE AND HAPPINESS. GOD BLESS HIM KAJUMULO HOLLA AT ME WILL YOU?
ReplyDeleteKWANI WAZIRI NI NANI? MIWANI INAMHUSU NINI WAZIRI? AMEKUAMBIA ANATAKA KUFADHILI TIMU YA ARUSHA, NA HUYO MAMA ANATOKA ARUSHA, USICHOELEWA HAPO NINI, MISAADA YA MICHEZO SI LAZIMA IPITIE WIZARA YA MICHEZO, WATU WANGAPI WANAFADHILI SIMBA NA YANGA HATUWAONI WAKIPITISHIA WIZIRA YA MICHEZO MISAADA YAO, ACHA UKIHIYO
ReplyDeleteTajiri Kajumulo kwa mbwembwe tu!!
ReplyDeleteBwana Kajumulo naomba nikuulize.
ReplyDeleteMiaka kama 10 iliyopita pale Sheraton ulitueleza kwamba katika bara la Afrika wafanyabiashara wenye fedha ni wewe na Bwana Abiola (Marehemu) tu.
Naomba tathmini yako kama sasa ni wewe peke yako ama kuna na mwingine?
(US Blogger)
eeh! huyu Bw.Kajumulo amefufuka tena!!
ReplyDeleteWell, ngoja tuone ataleta sera zipi this time..
Nilimuona kwenye YouTube akiwa kama mcheza show wa bendi ya wazungu..
Mdau, Katerero!!
saidia home boys.afc watata.
ReplyDeletemimi naomba kuuliza huyu jamaa pesa za kuthamini huwa anapata wapi!! alafu naona zinakuwa kwa awamu last timu alikuja na nguvu za soda then akatoweka now naona anarudi tena!! pesa kweli heshima waziri kitugani kwani bono wa U2 anaingia UN na ear ring wewe unachonga miwani ya jua acheni hushamba. kwa hali ya hewa hapa bongo jua kali tuna takiwa tuingine na mapensi waofficini
ReplyDeleteMnasema Kajumulo a-behave kama Mtanzania wakati jamaa sio Mtanzania, nyie vipi? Jamaa kautosa Utanzania kama vishuba kibao huko nje ya mipaka ya nchi, acheni Watanzania wawe Watanzania na vishuba wawe vishuba. Kanyaga twende....
ReplyDelete