Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh. Dkt Batilda Salha Burian akitia sahihi katika kitabu cha waombelezaji katika ubalozi wa Nigeria jijini Dar leo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Nigeria bwana Omar Yar' Adua.
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Mazingira Mh. Dkt Batilda Salha Burian, akimsikiliza Bw. Alex Kajumulo mdau wa michezo ambae alikuja kumtembelea Ofisni kwake leo kuona namna ambavyo anaweza kuinua michezo katika Mkoa wa Arusha kwa kuifadhili timu ya mpira wa miguu ya mkoani humo(Arusha FC).
Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2010

    Jamaa anaongea na Waziri huku miwani kaibenjulia kichwani! Kweli Bongo Ulaya Ulaya! Halafu Mazingira na Michezo wapi na wapi? Nadhani angebidi awe mgeni wa Mheshimiwa Bendera, kama sikosei. Ulaya Ulaya!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2010

    Kajumlo sio utamaduni wetu huo kwenda kwa waziri na kaptura au jeans na malapa! Tunajua hela zipo lakini usiige sana, sio za kibongo hizo, au mnataka mi nije na KaWOsh yangu ya Gymn!! ahaha
    Maendeleo siku hizi utamaduni umekuwa wa Ki Hip HOP umekuwa worldiwde! HIP Hop lization of other cultures! Marekani hiyo!! Waziri kitu gani bwana!
    Who cares man!!

    ReplyDelete
  3. PETER NALITOLELAMay 12, 2010

    THIS IS WHY I LOVE THIS CHILDREN IS LOVING SOOO MUCH ITS COUNTRY NO ARE MANY INDIVIDUAL ESPECIALLY ACTUALLY FROM USA. HE IS GOT MONEY SO MANY MONEYS AND ARE COMING FORWARD HOME TO SHARE ITS INDIVIDUALS THAT IS CUMBERSOME. KAJUMULO I OURSELF WELCOME YOU AND IF YOU WANTS PLEASE JOIN ME TO DEVELOP MY FORMER SCHOOLS SANTA ANTONY MBAGALA AND MUZUMBE MULOGOLO WHEN I GRADUATED MY MASTERS OF ECONOMICS AND ITS HONORS. I STILL WORKING HARDEST TO EDUCATES AFRICANS TO BE LIKE ME WITH EDUCATION IS THE KEYS OF LIFE AND HAPPINESS. GOD BLESS HIM KAJUMULO HOLLA AT ME WILL YOU?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2010

    KWANI WAZIRI NI NANI? MIWANI INAMHUSU NINI WAZIRI? AMEKUAMBIA ANATAKA KUFADHILI TIMU YA ARUSHA, NA HUYO MAMA ANATOKA ARUSHA, USICHOELEWA HAPO NINI, MISAADA YA MICHEZO SI LAZIMA IPITIE WIZARA YA MICHEZO, WATU WANGAPI WANAFADHILI SIMBA NA YANGA HATUWAONI WAKIPITISHIA WIZIRA YA MICHEZO MISAADA YAO, ACHA UKIHIYO

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2010

    Tajiri Kajumulo kwa mbwembwe tu!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2010

    Bwana Kajumulo naomba nikuulize.

    Miaka kama 10 iliyopita pale Sheraton ulitueleza kwamba katika bara la Afrika wafanyabiashara wenye fedha ni wewe na Bwana Abiola (Marehemu) tu.

    Naomba tathmini yako kama sasa ni wewe peke yako ama kuna na mwingine?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  7. KatereroMay 12, 2010

    eeh! huyu Bw.Kajumulo amefufuka tena!!
    Well, ngoja tuone ataleta sera zipi this time..

    Nilimuona kwenye YouTube akiwa kama mcheza show wa bendi ya wazungu..

    Mdau, Katerero!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 12, 2010

    saidia home boys.afc watata.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 12, 2010

    mimi naomba kuuliza huyu jamaa pesa za kuthamini huwa anapata wapi!! alafu naona zinakuwa kwa awamu last timu alikuja na nguvu za soda then akatoweka now naona anarudi tena!! pesa kweli heshima waziri kitugani kwani bono wa U2 anaingia UN na ear ring wewe unachonga miwani ya jua acheni hushamba. kwa hali ya hewa hapa bongo jua kali tuna takiwa tuingine na mapensi waofficini

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2010

    Mnasema Kajumulo a-behave kama Mtanzania wakati jamaa sio Mtanzania, nyie vipi? Jamaa kautosa Utanzania kama vishuba kibao huko nje ya mipaka ya nchi, acheni Watanzania wawe Watanzania na vishuba wawe vishuba. Kanyaga twende....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...