ankal akiwa 10 downing street na Ras Makunja, mjengo ambamo leo kaingia mwali mpya a.k.a David Cameron, waziri mku mpya wa Ukerewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2010

    mkuu wa wilaya wa nanii umetoka mchicha ile mbaya,ebu kajaribu kumomba polisi wa pale ikulu upiganae picha kama hiyo uone cha "MOTO"

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2010

    knock the door ulizia wenyeeejiiii mpoooo?sikilizia chamoto...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2010

    PHOTOSHOP.

    ReplyDelete
  4. Kwa hiyo Ras Makunja= Njagu? Itabidi nirudi bongo ku-upgrade kiswahili changu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2010

    eh! bwana eh!Ankal umetoka mchicha!
    Ras makunja vipi?kamanda naona wireles microphone mpya najua apo mziki wako mzito!atumwi mtoto oh! mperekee barua kamanda,hongera kamanda na suti zako mpya

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2010

    teh!teh!te! mwe! mwe! mwe! Kakamanda ketu ras makunja,umependeza sana na suti zako mpya,microphone zipo begani?
    lile gitaa lako likopwapi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 12, 2010

    ankal,huyo mlinzi wako kamanda ras naniini ana tabia mbaya za kuwadatisha hakili watu hadi watu wazima,tena hakili yake anaijua mwenyewe

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 12, 2010

    ANKAL UMETOKA CHICHA ILE MBAYA KUMBE NIMEGUNDUA FURANAS ZINAKUZEESHA, achana nazo

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 12, 2010

    changa la machooo..hii picha nimeangalia so close lakini hata siku moja hutojaribu ankal bwana!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2010

    hahahhaha weee kiboko yao maana kwa show nakufagiliaa wawa mzee mzima ankali misupu.nyuma ya kinvuli chako kumechomoza mkono wa nguruwe ikiuskuma mlango wa ikulu ukerewe.hahahahah big up saana naona umemuiga supa star nanihiii kule kwa obama holiwudi

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 13, 2010

    Umependeza sana, nice suit :)

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 13, 2010

    ankal, umependeza ila tatizo rako unachagua sehemu za kwenda njoo na uku jp uzuli wa uku akuna mtu wa ccm sisi uku tuna utaifa tu .

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 13, 2010

    kuna mijitu akili zao finyu wanaona mtu kuweza kupiga picha number 10 downing street ni issue kubwa na haiwezekani kabisa, wakati ni jambo la kawaida tu.

    Watu toka kujua kuna kitu kinaitwa photoshop basi kila picha waionayo huruka photoshop. huko nyuma watu wameshawahi kuleta picha zao wakiwa katika viwanja vya arsenal. liverpool, man u na chelsea na watu wakaruka photoshop.

    Askari wetu tz tu ndio hawako friendly lakini huku nje they are mpaka pale uvunje sheria.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 13, 2010

    Ankal Miposi,umependeza sana na hiyo ofisi.Mimi naomba uipate na ukae ndani ya hiyo ofisi japo kwa wiki moja tu!!
    Siku hiyo wabongo wote itakuwa kuku kwa mrija.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...