Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, akisalimiana na Kiongozi wa Mabalozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) Tim CLarke, akiongozana na Mabalozi wa nchi mbali mbali za Jumuiya hiyo,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kuonana na Rais.
Picha na mdau Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2010

    KAMA VIPI WANGE BAKIA NACHO TU,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...