Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2010

    Asante sana michuzi nakuomba undelee kutuwekea hii usichoke tafadhali

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2010

    mweee dola inazidi kupaa!!

    na huu umbayuwayu?!

    ReplyDelete
  3. Na bado tutasoma kwenye mabango tu tena kimya kimya!duuuuh

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2010

    Shilingi ya Tanzania mbona inashuka dhamani kila siku?. Hivi viongozi wa serikali na benki kuu hawaoni hilo? Wanatakiwa kuchukua hatua kudhibiti kuporomoka kwa shilingi.

    Kwa kuwa Tanzania inaagiza bidhaa nyingi nje ya nchi huku kuporomoka kwa shilingi kutaongeza bei ya hizi bidhaa na hatimaye hali ngumu ya maisha ya watanzania wengi ambao kipato chao ni shilingi na ni kidogo. Na hata wakigoma miaka nane hakitaongezwa kama wanavyotaka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2010

    Nyerere na Mkapa hawakupenda sana kupata mikopo toka nje ndo maana shilingi ya tanzania ilikuwa stable. Ninyi kila kukicha omba pesa toka nje kujenga uchumi angalia sasa madafu ya Japani yalivyo na thamani ndogo licha ya uchumi wake kuwa katika upeo wa juu ulomwenguni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...