Home
Unlabelled
BEI YA MADAFU LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana michuzi nakuomba undelee kutuwekea hii usichoke tafadhali
ReplyDeletemweee dola inazidi kupaa!!
ReplyDeletena huu umbayuwayu?!
Na bado tutasoma kwenye mabango tu tena kimya kimya!duuuuh
ReplyDeleteShilingi ya Tanzania mbona inashuka dhamani kila siku?. Hivi viongozi wa serikali na benki kuu hawaoni hilo? Wanatakiwa kuchukua hatua kudhibiti kuporomoka kwa shilingi.
ReplyDeleteKwa kuwa Tanzania inaagiza bidhaa nyingi nje ya nchi huku kuporomoka kwa shilingi kutaongeza bei ya hizi bidhaa na hatimaye hali ngumu ya maisha ya watanzania wengi ambao kipato chao ni shilingi na ni kidogo. Na hata wakigoma miaka nane hakitaongezwa kama wanavyotaka.
Nyerere na Mkapa hawakupenda sana kupata mikopo toka nje ndo maana shilingi ya tanzania ilikuwa stable. Ninyi kila kukicha omba pesa toka nje kujenga uchumi angalia sasa madafu ya Japani yalivyo na thamani ndogo licha ya uchumi wake kuwa katika upeo wa juu ulomwenguni.
ReplyDelete