Home
Unlabelled
BEI YA MADAFU LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wenzetu Malaysia miezi 2 iliyopita ilikuwa usd1 sawa rm3.40 leo ni 3.20 na wanasema hadi ifike rm2.00 sasa tanzania sijui, nashindwa kusema kabisa, labda tuombe viongozi wao waje kuwekeza kwetu kutawala nchi, au tuwape mwaka watuongoze loh, nachoka na ufisadi huu.
ReplyDeleteEeeeeeeeeeeeeeee! $ sasa >1400! Mbona website ya BoT inasema 1338? Au Bureau zina utaratibu wake zenyewe?
ReplyDeleteEuro inazidi kuporomoka,kaaaaaaaaazi kweli kweli.
ReplyDelete$ 1 wiki mbili zilizopita ilikuwa sawa na 1400/= sasa hivi 1427/= nimeanza kupata mashaka 2015 inaweza ikazidi 3500/= niliyoisema
ReplyDeleteMkuu wa nchi ni mchumi sasa sijui anampango gani na hali hii mbaya ya madafu
Haya ndio matokeo ya kubadilisha viongozi kama nguo, hawana jipya wanaendeleza yale yale, mwaka huu wanaingia tena kwenye uchaguzi lakini mwisho wa siku ni utumbo ule ule. Inauma sana kwa sisi tunaoishi kwenye nchi zenye viongozi wenye nia dhabiti ya kukomboa watu wao. Tanzania viongozi kazi yao ni kuuza sura kwenye mikutano ya kimataifa, haina maana yoyote ni afadhali wangetumia hizo fedha kuboresha huduma za jamii.
ReplyDeleteHii inatishia amani,Mdau hapo juu umegusia web ya BOT tafadhali siifahamu naomba unisaidie au yoyoye anaeifahamu iwe kwa hapa au kwa mail yangu dazd@windowslive.com.Ila sasa dafu linaanguka vibaya.
ReplyDeleteDuh,Euro inazidi kushuka tu siku hadi siku.Nilikuwa nimweka vi-euro vyangu ili nije nikamate madafu wakati wa vakesheni ili nifanye cha maana bongo,ila ndo hivyo tena.
ReplyDeleteWatanzania, tupende kujishughulisha. Tusipende "spoon feeding". Kupata habari kwenye mtandao ni kitu kidogo tu - tumia search engine. Nenda Google, weka Bank of Tanzania halafu bonyeza search. Utapata jibu. Lakini kwa vile mmezoea kuwa spoon fed: website ya BoT iko hapa: http://www.bot-tz.org/
ReplyDelete