Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2010

    acheni wizi nyie inakuwaje mnunue dola ya canada kwa buku then mnauza kwa 1350? mbona hapo kuna bonge la gepu wakati kitu kiko ngoma droo na mnyamwezi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2010

    du serikali yetu kweli vipofu! hivi ni kweli shilingi inashuka kirahisi kiasi hiki? kwamahanah iyo sisi wabongo exportion ya bidhaa zetu hakuna kabisa! na huu ndio msimu wa mazao mengi,mbona bandarini tunaona mazao ya mbao na mengine mengi yanakwenda nje ya nchi kwa wingi? hizo fedha za kigeni zipo wapi? haya ni matokeo ya ujinga inakuwaje serikali ambao ndio wanatakiwa kukuza uchumi wa nchi wanadhubuti kununua fenicha toka nje,wakati wanaruhusu mbao zetu kwenda nje? mambo mengine ayahitaji degree huweze kugundua, au ndio biashara ya wajanja! mahana siku hizi hapo posta zimejaa bureu de change utafikiri tuko mpakani!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2010

    nimeshafungua account ya usd

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2010

    uchumi tanzania unatuuwa sisi tegemezi huku nje ya nchi saa apo angalia dola ilivyo .....paka nimechanganikiwa nakosa ata pozi la kuomba mapene skani sasa mweeh jamani Tunaomba hawa jamaa wanaoangalia secta ya uchumi waone swala hili nazani mwakani dola 1 itakua sawa na 10,000 Tshs
    Mdau
    Babuu

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2010

    Wanauchumi wa Tanzania wamelala kwani kuachia shilingi kuporomoka dhidi ya Dollar ya Kimarekani si tija kwa uchumi wa Tanzania ambao unategemea zaidi uagizaji wa mali kutoka nje ya nchi. Bidhaa za nje ya nchi zitakuwa za bei ya juu sana hivyo kuongeza ugumu wa maisha kwa mtanzania ambaye vile vile hata akigoma kwa miaka nane mshahara wake hautapandishwa angalau kwa kiasi cha kukidhi haja.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2010

    Systems za kusimamia mambo Tanzania zimeziba kabisa kwa sasa. Kwa hiyo maisha Tanzania yatakuwa tu ya kubahatisha na kupokea lolote linalokuja mbele yetu. Mungu tuhurumie sisi watu wako.

    ReplyDelete
  7. MONEY PRINTING IS ANOTHER SOURCE OF GOVERNMENT REVENUE,NO DOUBT.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...