ankal akiwa na uzi mma wa bwawa la maini kwa ajili ya msimu ujao. anaishukuru kampuni ya hillview family ya mji wa Kusoma (Reading) huko Ukerewe kwa zawadi hiyo nono ambayo kwa kweli imemfurahisha mno. Hillview family ni mmoja wa wadhamini wakubwa wa Globu ya Jamii. (waangalie kwa KUBOFYA HAPA)Yaani ile yenye nembo ya awali ya kutangaza kilaji ilikuwa inasumbua wadu wengi kiasi cha kwamba hii inaashiria safari hii bwawa la maini litauza sana ze fulanazzzz.Bwawa oye!


jamani ,mbona hamfagilii timu za nyumbani? mwanamuziki akitoka nje kiingilio 30,000 t0 laki moja wa kwetu hapa bongo kiingilio 2000, why?
ReplyDeleteANKO...HVYO HIYO FULANA NDIO ITAKUWA MBADALA YA HYO YA MISTARI AKA KAUKA NIKUVAE...,HAHAHAAAAA...............UTANI TU KAKA.............!
ReplyDeletenamuunga mkono mdau wa hapo juu, uzalendo mbele jamani..tupende vya kwetu kwanza then vya nje vinafuata..jezi ni nzuri lakini michuzi una hata jezi ya timu za nyumbani.
ReplyDeleteVery nice 'uzi' performance 30%,
ReplyDeleteKipendacho moyo ni dawa. Vya nyumbani hata kama ni vibovu ulazimishe kuvipenda!!! Timu gani inaweza kulingana na 'bwawa la maini' hapa home au uliye-comment ukiangalia mpira unasinzia.
ReplyDeleteForever bwawa la maini forever,statakuacha kamwe hata ushuke daraja!ankal ntaupata kesho huo uzi zizzou?au nami mpk nitumiwe?nataka jmosi ning'ae!
ReplyDeleteBora uishangilie Bwawa La Maini, maana leo 19/05/2010 ktk Kombe La Kagame Paka amng'ata Simba bila majibu ( PakaWaSofa 1 Simba 0).
ReplyDeleteMdau
Jangwani.
We mdau hapo juu, hao siku izi hawaitwi Simba. Tangu watoke Misri na kulambwa tano wanaitwa KHALUA KHALUA! Yaani kisusio cha vijana wa mjini.
ReplyDeleteTOREEEEEEEES! NJE CHAMPIONS LEAGUE HATA ILE EURO EUROPA NAYO OUT. HEHEHEHEHEHEHEH.
ReplyDeleteRANGI HIYO HAIFAI HATA HAPA NYUMBANI WAZEE WA MISRI WAMECHAPWA NA PAKA. HEHEHEHEHE.
uuuuwiiii mbavu zangu zinachomoka ati KHALUA KHALUA! oooh watu wana mamboo
ReplyDelete