Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NI HUZUNI SANA,TANZANIA KWISHA WATAWALA UCHUMI UNAPANDA TUNA FEDHA ZA KIGENI NYINGI HIKI NI KIPIMO KUWA TANZANIA NI MAHUTUTI SASA,HAKUNA CHA MAANA SERIKALI YA AWAMU YA NNE ILICHOLETA ZAIDI YA KUONGEZA UMASIKINI,HALI YA MAISHA YA MTANZANIA NI MBAYA SANA ,SERIKALI HII NI USANII TU.WAPI TUNAKWENDA SASA??? HATA HIYO AIR TANZANIA SERIKALI NDIYO YA KULAUMIWA HAWAKUPEWA MTAJI WA KUTOSHA NA VILE VILE KUNA MAKUSUDI YA KUIUA ATC ILI KAMPUNI MOJA YENYE WA WABIA NA VIONGOZI FULANI IWEZE KUENDELEA KUJITANUA HIVYO HIVYO MBONA TRC NANI ALIKOSEA KUINGIZA KWENYE MIKATABA YA KIJINGA NA KIFISADI SI HIYO HIYO SERIKALI MBONA HAWALAUMIWI INANIUMA SANA KUONA ATC INANYONGELEWA MBALI KAMA NYERERE ANGELIKUWAPO YOTE HAYA NAFIKIRI YASINGEKUWEPO WATAWALA HAWANA UCHUNGU NA NCHI TANZANIA NI BORA LIENDE
ReplyDeleteGoddam! Lakini Mwalimu alikuwa mshenzi, ungeamka asubuhi na sikia katangaza SHILLING IS DEVALUED 3,000 to the dollar! Hakuna ambaye angesema kitu! Mlie tu!
ReplyDeleteHii dollar inapanda kidogo kidogo sana nataka ifike 2000, ili tukituma dollar elfu moja huko Tanzania wapate millioni mbili.
ReplyDeleteSafi sana uongozi wa Tanzania, endeleeni hivyo hivyo tu, kwanza hao tunao watumia pesa hawafaidiki chochote na serikali ya Tanzania hata ulinzi hawana juzi tu walivamia na majambazi.
Ebwana da! TSH inakimbilia UgSH!
ReplyDeleteJamani kuna kitu kinachoendelea katika nchi yetu, kwa nini shilingi inashuka thamani kiasi hichi? Kama tungekuwa tunauza vitu nje it would have worked to our advantage but sadly it is the opposite.
ReplyDeleteSerikali ya Kikwete lazima iliangalie ili jambo kwa upeo mkubwa, la sivyo watu wataenda kununua mchele sokoni na kapu!
Ankal, ukitoa habari hizi uwe pia unatueleza wako maeneo gani (address) na simu zao, tafadhali.
ReplyDeleteHelloooo Zimbabweeeeeeee!, here we come friend Zim, we see u r having too much fun, so we decided to come and join the club, we have always been best friends anyway, love you Zim!!!!!!!!
ReplyDeletelol! Nchi iliyoshindwa kila kitu!
ReplyDeleteHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.....Halafu ukiuza hiyo Dola 100 huna utachonunua!!.....Mungu wangu weeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
ReplyDeleteHIVI MNAFIKIRI UCHAGUZI UNALIPIWAJE KAMA SIO KWA STYLE HII?PIA DONT FORGET ZILE $$ ZINAZOKIMBIZWAGA OUT OF THE COUNTRY ADURING ELECTIONS.PERTOLI IMEPANDA BEI BONGO, DUNIANI SHWARIIIII!!!VERY SAD KWA KWELI WASOMI WAPO WANACHOKIFANYA HAKIPO COS DECISION MAKERS NI POLITICIANS SIO TECHNOCRATS.
ReplyDelete