Mdau bin ankal,
Kamata taswira ya Kikosi cha Brazil na Rais wa nchi hiyo Da Silva mara baada ya kutua Sauzi. Ya chini ni ya raia hawa wa Netherlands wanaondesha combi kutoka
Cairo mpaka South kucheki world cup.
--------------------------------
HABARI ZA UHAKIKA ZIMETHIBITISHA MCHANA HUU KWAMBA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL YENYE WACHEZAJI NYOTA 23 INATARAJIWA KUTUA JIJINI DAR JUNI 5, 2010 KABLA YA MCHEZO WAO NA TAIFA STARS UWANJA WA NESHNO MPYA JUNI 7, 2010 USIKU.
MSAFARA WA MABINGWA HAO WA DUNIA KWA MARA TANO WANAKUJA NA MSAFARA WA WATU 60, WAKIWEMO VIONGOZI, WALINZI, WANAHABARI NA WAFANYAKAZI WA HUDUMA MBALIMBALI KAMA VILE AFYA, LISHE NA KADHALIKA.

ULINZI WA KUFA MTU UNAANDALIWA KWA AJILI YAO KWANI KAMA INAVYOFAHAMIKA MACHO YA DUNIA YOTE YATAKUWA HAPA KWA HIYO IKITOKEA KWIKWI YA AINA YOYOTE ILE ITAKUWA SOO....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2010

    Cairo to South africa sio mbali kabisa matatizo ni barabara zetu, GPS hazifany ikazi na waizi njia ndio cha kuogopesha.

    Imagine unasafiri kutoka Siattle, WA unakwenda Florida, NY au Maine..Umbali unaweza kuwa hivyo hivyo...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2010

    Hivi bado siku hizi wanatuma salamu katika half time?

    Nakumbuka tukiwa wadogo utasikia kwenye Radio taifa Star wafungeni hao mabao 3 - 1 warudi kwao America ya kusini wakishangaa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2010

    Ano.Thu May 27, 04:02:00 PM Kwani South ndio umeona Saiberia we vipi hapo chini trip hata mara tatu kwa siku toka bongo ndio washindwe kuja we kaa na manegativity yako hivyo hivyo na utakuwa hivyo hivyo lifetime yako yote, unaitaji kuombewa.
    Ano wa pili its true hatuna hizo africa so sad ila kwa kujiweka juu sasa na kuwa wajuaji wakati ukidrive kwa wenzetu its so simple to get the last destination well sijui usingizi utaisha lini. Ano wa tatu umenischekesha and dude trust me ipo bado nilicheka sana day nilisikia ila it gives good memory always na ni safi inakuremind...Go Tanzanians karibuni Brazilians pale ndo muthaland yenu some of you guys namean?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2010

    Mdau wa kwanza utaliwa hela yako. Balozi wa Brazil ameongea kwamba jamaa wanakuja. Andaa kiingilio cha 250,000 uone samba.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2010

    NI KWELI WATACHEZA NA TANZANIA TAREHE SABA, HAPA UK KATIKA TELEVISHENI YA TAIFA BBC WAMESEMA HIVYO SASA HIVI SIDHANI WANAWEZA KUDANGANYA NINA IMANI WANATAARIFA RASMI NI TAREHE 7 JUNE 2010 WATACHEZA NA TANZANIA

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2010

    hi! wabongo wabishi
    we mdau hapo juu kama huamini type kwenye google:

    BRAZIL TANZANIA

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 27, 2010

    Bado wanafanya hivyo Wafunge hao Mwanza waende kuvuwa Sangara vizuri lol. watu Presha zilipanda Uganda na Kenya na Congo walishakata Ticket kwenda kuona Brazil Bongo sembuse waliokuwa Wabongo Nchi za nje. Mdau wa juu unajuwa usije kuliwa pesa subiri kwanza tuone hahahaha. Naomba waende bongo watu wafurahi ni nafasi hata Timu zengine hazibaatiki.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2010

    http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/world_cup_2010/8709267.stm


    Vitu hapo juu tizameni Bbc Africa Mdau hapo juu umeliwa babake BBC FOOTBALL ya UK wanalijuwa hilo.

    Yusuf Hassan

    ReplyDelete
  9. Lula RocksMay 28, 2010

    yani mi nampenda sana huyo raisi wao LULA, ni Raisi mwenye busara sana na anastahili heshima zote za dunia, haogopi presha za so called super power,
    Big up to Lula, welcome to Tanzania Brazil, or Lula boys, as far as im concerned.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...