Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2010

    john mashaka wee ndo serikari inakusikiriza, nenda kaoongee nao ili watupunguzie gharam ya Dola. hapa masiha siyo mchezo, itabidi tukalime kijijini tuhachane na mambo ya mjini hapa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2010

    Hii US$ inakichaa nini? Mbona inapaa?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2010

    Hee, kumbe ni Riyal ya Oman ndio kubwa na si ya Saudi Arabia?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2010

    inapanda tuuu .
    wanafaidika wachache.
    too much .

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2010

    Ankal hii huduma ya kutangaza bei ya pesa imetusaidia sana tulioko nje kwani tulikuwa tunaliwa sana na marafiki!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2010

    The witch doctor Oman is seeing must be very good.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 24, 2010

    Mdau hujakosea. Hii huduma ya kututangazia pesa inatusaidia sana kwa kweli..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 24, 2010

    nyie mnaosema hii huduma inawasaidia chonde msije mkagombana na ndugu zetu hii bei nikwenye maduka kama unatumia bank inakuwa chini kidogo msijeona mnaliwa ati

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 24, 2010

    nyie mnaosema hii huduma inawasaidia chonde msije mkagombana na ndugu zetu hii bei nikwenye maduka kama unatumia bank inakuwa chini kidogo msijeona mnaliwa ati

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 24, 2010

    hii nchi ina wachumi kweli? ndani ya mwezi mmoja dafu limeshuka hivi na bado sasa kufikia december itakuweje?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 24, 2010

    Ni kwanini serikali inawaruhusu watu kudai dollar badala ya kutumia shilingi ya tanzania.Nasikia sasa hivi sehemu nyingi sana Tanzania wanatumia dollar badala ya Tzshilingi.
    wahusika mko wapi?

    ReplyDelete
  12. Mdau K.VMay 24, 2010

    ....Nahisi BOT imeanza kuprint fedha za ruzuku ya uchaguzi du mbona thamani ya Tsh. inashuka kwa rate ya ajabu kiasi hicho... usishangae kesho imegonga 1500.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 25, 2010

    Anon wa May 24, 05:24,

    Nashukuru kwa angalizo. Kumbe bei za maduka ya watu binafsi zipo Juu kuliko bei za mabenki enh!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 25, 2010

    annon may 25,09.39 am

    na wewe ebu fungua website za mabenki mbalimbali ya bongo uone

    mbona mabenki late iko chini sana tu sio huu wizi wa maduka binafsi

    hamjui???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...