mpya wa Uingereza Bw. David Cameron
Gordon Brown leo amejiuzulu Uwaziri mkuu baada ya chama chake kushindwa kupata viti vya kuweza kuendesha serikali katika uchaguzi uliofanyika Alhamisi na vile vile amejiuzulu kuwa kiongozi wa chama cha Labour Party.
Ameondoka Downing Street, Buckingham Palace akiwa ameshikana mikono na na mkewe Saraha na watoto wao John na Fraser.
Huku mkewe akiwa amesimama pembeni yake katika ofisi ya No 10, alisema " kazi yake ni kuhakikisha serikali inaundwa baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita"
Chama cha Labour Party kilitakiwa kufikisha viti 326 ili kuweza kuendesha serikali ya nchi lakini hakikuweza kufikia viti hivyo.
Katika uchaguzi huo Labour Party ilipata viti 258, Conservative walipata viti 306, Liberal Democrats walipata viti 57 na vyama vingine walipata kura 28.
Uchaguzi wa mwaka huu umevifanya vyama Conservative na Liberal Democrats kuungana ili kuweza kuchukua madaraka ya kuunda serikali ya kuongoza nchi.
Brown amewasilisha rasmi barua yake ya kujiuzulu kwa Malkia wa Uingereza Elizabeth II endapo Malkia atakubaliana na ombi lake, na anamshauri Malkia kumwita kiongozi wa chama pinzani kuweza kuunda serikali.
Wakati huohuo, David Cameron achaguliwa kuwa Waziri mkuu nchi Uingereza baada ya chama chake kuweza kujiunga na chama cha Liberal Democrats kuunda serikali ya mseto.
Cameron amezaliwa tarehe 9 mwezi wa kumi mwaka 1966 jijini London, amechukua nafasi ya kukiongoza chama cha Conservative tangu mwaka 2005.
Amesomea masomo ya Philosophy, Politics and Economics at Oxford na kupata degree.
Kuchukua madaraka ya kuwa Uwaziri Mkuu kumemfanya Cameron kuwa kiongozi mwenye umri mdogo kuongoza nchi toka mwaka 1812.
Ally Muhdin wa

www.tz-one.blogspot.com

David Cameron ni right person for Waingereza. Nilishasema hapo awali kuwa mie siko UK lakini nilifuatilia huu uchaguzi kwa makini sana.
ReplyDeleteI hope Waingereza hawatadondoka kama Greece, Spain na Portugal.
BLOTHER MICHUZI I WAS RECEIVED THESE NEWS OF AFRIKAN WHITE MEN DAVID CAMERON IN EXPERIANCE PLESURES. JUST LIKES AMERICAS THEY GOT KENYAN SON TO BE THE BOSS OF ITS COUNTRY NOW IM PLEASED WITH NO EXCUSE THAT NOW ENGLEND LONDON HAVE GET THE SON FROM CAMERON OH GOD WHAT A COINCEDENCE BOTH USA AND ENGLAND GET AFRICANS LEADERS? BUT I JUST DIDNT TO KNOW IF DAVID IS KEEP DUAL CITIZEN I MEANT OF UK AND COMEROON. HOWEVER I DONT KNOW SOMEHOW WHO IS HE GONNA CHEER IN WORLD CUP AS WHETHER UK NOR CAMERON? IT WAS VERY HARD IF YOU ARE CHEERING TWO HEAVY GIANT OF COUNTRY YOU BELONG TO BE. MY EYES IS OPENING AND MR. PRIME MINISTER COMING TO VISIT TANZANIA WE WERE PEOPLE OF TREMENDOUSLY OPENING HEART AND PEOPLE OF PEOPLE SO WELL COME BEFORE YOU VISIT COMERON LIKE OBAMA HAVE VISITING GHANA BEFORE AFTER VISITING KENYANS. GOD BLESS U
ReplyDeletenalitolela auna shule yoyote angalia unavyobologa haujui hata kingereza
ReplyDeleteHii ndio imeonyesha dhahiri kuwa viongozi wa nchi yeyote, wawe opposition au what wooote ni sawa. woote wanataka madaraka na wala hawajali matakwa na manufaa ya wananchi.
ReplyDeleteSi unaona hapa pande zote mbili conservative na lib dem wote wamekubali kupunguza malengo yao na ahadi zaid ili tu waweze kuunda serikali ya kuninginia (na kwa nini huku ni serikali ya kuninginia, wakati afrika ni ya mseto?) na kupata madaraka.
I AM VERY ASTONISHED THAT MUDAU HAPO ABOVED DOWN ARE CRITISIZE ME THAT IM NO HOW KNOW ENGLISH WHILE THEY CAN`T COME TO USA THEN THE DUDE IS RUNNING RESPONSIBLY. IF YOU COULD HAS WRITE IN ENGISH WHY IN THE ENTIRLY WOOD LOKKED TIRED AND MISBEHAVING ON THE TRANCSRIPT AND I CAN BE DANGERLOUS IN THE SPORTS SO BEFORE YOU COULDN`T START RECOGNISES ME PLEASE DIDN`T SAY BAD WORDS AND LIKE YOUNG KIDS I AM A PEOPLE LIKE YOU SO WHY YOU SPOKEN IN ENGLISH THEREFORE? MY ENGLISH IS PEFECTION AND BUSY
ReplyDeleteKwenda US sio tiketi ya kujua kiingereza,acheni kuchafua lugha za watu,kiswahili chetu kinatosha hata wazungu wanakikubali .
ReplyDeletetukubaliane jambo hapa, cameron alipokwenda kwa QUEEN alimpa mkono, jambo lile sio kusalimiana, bali kwa sheria za monarch, QUEEN atapokea mkono then ataubusu, hii ni ishara ya kukabithiwa nchi na atatakiwa kisherie kila week ni lazima aripoti kwa QUEEN kuwa adviced, warned, na marekebisho ya nchi.
ReplyDeleteOyaa wee anon Wed May 12, 02:44:00 PM, huyo US anakuchuza tu msela, achana nae (wanasema ukijibizana na .... na wewe utakuwa ....). Hichi kiingereza cha namna hiyo nilishakisoma sana kwenye emails zangu, ni lugha za matapeli.
ReplyDeletebalaa la Tony Blair kumfuata Bush na mauongo yake na kuvamia nchi za watu na kuua mamilioni bila sababu, vinawarudia, damu za watu si maji zitawasakama na wataendelea kuona matokeo yake kwa miaka mingi sana ijayo.
ReplyDeleteha ha! wewe nalitolela nimekushitukia, ki inglish unajua ila unajitoa ufahamu tu kutuchekesha sie tulionuna.lol! na huyo aliekwambia eti huna shule kwa ajili hujui ki inglish!!?? mimi naona yeye ndo hana shule, kuto kujua lugha ya mtu mwingine si ndo kutokuwa msomi, usiwe mjinga.
ReplyDelete