Timu ya redio Coconut Fm 88.2 Fm Zanzibar
Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, akimlisha keki mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd, ambao ni wamiliki wa kituo hicho kwa niaba ya Uongozi wa Kampuni pamoja na Clouds Media Group.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions, ambao ndiyo wamiliki wa Redio Coconut Fm 88.2 Zanzibar Godfrey Kussaga akimlisha keki mmoja ya watangazaji nguli wa Redio Coconut Fm 88.2 Husna B.

sauti na sura ni vitu 2 tofauti
ReplyDeletehehheeeeeeee umekutana na sura usizozitegemea nini.. zimechokaaaaaaa hhehehe
ReplyDelete