Home
Unlabelled
Diamond, kipaji kipya kilichoibuka na mbagala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mithupu dogo noma huyu,kama kweli anatoka kwenye hayo maisha basi ajiendeleze badala ya kununua nguo na cheni kujiona star.asaidie na wazazi wake.
ReplyDeleteDOGO ANAFUNIKA KINOMA, HONGERA SANA KWA KIBAO HIKI MOTO MOTO, ILI KUWAFARIJI WENYE SHIDA YA MAPENZI, SAFI SANA!
ReplyDeleteCHIBI.
NIWEIPENDA NA IMETULIA, Wapo wengi wanaokimbiwa au kukataliwa na wachumba au watarajiwa wao kwa sababu za kimazingira kama ya huyu kijana, mara nyingine wanakua na sababu za msingi.Lakini kama watapata muda wakafikiria zaidi wanaweza kukubali wakakaa pamoja na kupanga mbinu za kuweza kuachana na mazingira hayo.
ReplyDeleteNAWAKILISHA.
KCC- UKEREWE
Dogo umejitahidi sana muziki ni mzuri na maudhui katika wimbo wako yanamwelekeo hasa katika jamii yetu ya watanzania ambayo tunajua kwamba tatizo la kukimbiwa lipo na wengi tayari tumeshakumbana nalo.
ReplyDeleteIla naomba kajifunze kiswahili, Badala ya kusema "MBAGARA" useme "MBAGALA", usituharibiw kiswahili.
Kazi nzuri
ReplyDeleteSun May 09, 08:47:00 PM...nakuunga mkono ilo la "ULEVI"
ReplyDeletesababu ziko nyingi tu za kuachwa na mpenzi nyie wanaume..
2.ivi kila mtu anatunga nyimbo za mapenzi tuuu???
Anajitahidi, lakini mwambieni awache kutuvali MLEGEZO (Kata K*ndu) sisi.
ReplyDeleteHatulifagilii
dats gud diamond.
ReplyDeletebut pipo mnaokaa mbagala hata mcogope koz kama kapangwa wako, atakuwa wako tu, hao wanaoshokea pesa za wa2 hawana mapenzi ya keli, they are just material gals.
diamond pamoJAH sana kaka.
Dogo ana mwimbo wake mwingine BEATS zinafanana sana na hii! (kamwambie!)inanifanya niuchukie huu wimbo, ki ukweli kabisaa!
ReplyDeleteKwa kawaida huwa sitoagi komenti kwenye viwanja hivi lakini, Ankal, huu ni ubunifu na utunzi mzuri kwa huyu dogo. lakini tatizo la wabongo ukiwasifia basi wanabweteka na kujiona keki badala ya kuzidi kujizatiti.
ReplyDeleteUtakuja kuniambia siku moja utakapokutananaye akiwa amefulia. Sasa itakuwa yeye na mademu mademu na yeye, na kujifanya yuko juu kuliko hata waanzilishi wa miziki.
hongera kwa kuwakumbuka watu wa mbagala ili jamii iwaone maisha yao.
ReplyDelete