kufuatia hiyo big game najua East Afrika patakua hapatoshi, hata mimi ningekua huko ningekua katika mchakato.
Hapa "Ukerewe" nimeona habari kwenye gazeti moja nikaona ni vema tukihabarishana, nimejaribu kuitafuta kwenye mtandao wa gazeti husika nikaikosa, nikaona si mbaya nikutumie hivi vipande uviedit na kuwatundikia wadau kama utakua na muda wa kuedit.
Ahsante
Mdau KCC-Ukerewe
I am not sure if its worth spending million of dollars for a pre-tournament match in Dar while the money could go for football development and youth programmes in the country. Lets hope at least the Brazil national team puts forward their best players.
ReplyDeleteObviously it is good for exposure and will attract international media although we are paying a very high price for having the 1st ranked National team play with the 108th ranked national team in the world.
Hii habari inatoka Tanzania na ulimwengu umeshajua kuwa Brazil itacheza na Tanzania.Kwa habari zaidi check hapa http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/world_cup_2010/8705672.stm
ReplyDeletena hapa http://www.supersport.com/football/article.aspx?Id=350692.
am confused... sijui ninune au nicheke... kanchi chetu maskini, tunashida ya madawa na dhahanati na mengineyo... lakini BRAZIL.... lets spoil ourselves, lets spend them cash... bring those brazil watuentertain... mara moja kwa mwaka sio mbaya.......
ReplyDeleteSawa mzee tenga, ungelitwambia tu nawe umepata kiasi gani katika donge hilo zito?
ReplyDeleteHalafu mashemegi zetu wakitucheka kuwa hatuna elimu tunahamaki, tunadhani kuwa na elimu ni kuwa na makaratasi ya kuonyesha umehitimu chuo kikuu. How dare Tenga ameruhusiwa kupoteza mamilioni ya dola namna hii?
It will be worth every penny, raisi wetu tenga amesema. Simlaumu tenga peke yake lakini ni utawala mzima wa nchi. Tanzania hawatanufaika na lolote katika mechi hii, watanzania hawatanufaiak kwa mechi hii, na ni kwa uhakika mkubwa kuwa Brazil hawatatia kikosi chao chote, na hata wakitia kikosi chao chote hawatacheza kikweli, kwani hakuna anaetaka kuumia dakika za mwisho kabla ya mashindano muhimu duniani.
TANZANIA WEEEEEE!!!!
PRIORITY.very simple word but has got big impact in one's life or the whole nation.
ReplyDeleteMi nimeiona kwenye gazeti la metro asubuhi hapa Manchester lakini pia habari hiyo iko mtandaoni BBC sports na imeripotiwa na reporter wa bongo! Anyway ni vijimambo tu, mwenyewe nikawa nimevimba kicjwa kuwa brazil wanakuja kuplay tz as a last build up before world cup nikamwonyesha rafiki yangu mzungu alipoona hiyo hela Tanzania imetoa akaniuliza '' Tanzania is a rich country enh??'' Kisha akasema you must be rich to oat that fuckin amount just to playbrazil, they play us for free''!!!! Mi nikamwambia man pay a visit to tz one day, it's true we are resourcefully rich but while there you are gonna understand the meaning of bongo tambarare!! Akaniuliza ''what does tha'mean??" nikamjibu " I can't tell you at the moment the meaning of bongotambarare you just go there in this summer holliday visit a great deal of the country and when u back you are the one who will tell people about your understanding of the word bongotambarare ofcourse having in mind that we paid six million quids for just playing a single match with brazil! Tukaishia hapo na box likaendelea Kama kawa!!
ReplyDeleteWatoto tele wako omba omba mitaani, mashule mengi hayana vifaa vya kusomea, mahospitali hakuna dawa, maji na umeme ni shida tupu, barabara hazipitiki na serikali inaruhusu chama cha mpira kulipa mamilioni ya dola kwa kuna mechi isiyo na umuhimu wowote, inalipa mamilioni yote hayo kwa dakika 90!
ReplyDeleteHalafu tanzania bado tunaomba misaada nje, unadhani nchi zinazotusaidia wakiona hii watasemaje? si watesema kumbe tunazo pesa za kuchezea namna hii?
Mimi nangoja comments za mashemegi zetu kutoka kenya, hawapewi sababu wanatucheka sebuse leo tunawapa mwanya.!!!!
ReplyDeleteHivi ni dola milioni ngapi hasa? nataka kujua tu ni shule ngapi zingelinufaika na vifaa vya kusomea ikiwemo PCs, pia miezi mingapi ya arears ya mishahara ya walimu walingeweza kuwalipa.
TANZANIA TAMBARARE!!!!!
Why Pay a Million Dollars just for team to come BEAT you, while some of us KCCs have not been given our allowances while they are way overdue?
ReplyDeleteI thought it was supposed to be a FAIR PLAY?
Well, C'est La Vie (That's Life/ That's How Life is/ That is the Way It Is).
Most welcome Brazil.
www.tanzaniasports.com how about the business side of it? What if TFF would make more money so they can do more of the kinda developmental projects you just mentioned? you know you get both for the "same price" I mean Taifa Stars players gets "exposure" and TFF make lots of cash and as a bonus Tanzania soccer fans get to see their favorite Brazilian players on own land, in our won "ultra" modern, Chinese built stadium.
ReplyDeleteJuzi hapa wafanyakazi wameomba mishahara kuongezwa Kikwete amesema 300,000 hailipiki! sasa hapa nashindwa kumuelewa naapa kutopigia kura CCM labda kama Serengeti Brew wakiwa ndo sponsors! Michuzi usibane hii comment yangu maana nawe ni mfanyakazi
ReplyDeleteKaka Issa,
ReplyDeleteJe hujihisi uchungu, kujua habari hizi toka UK, na siyo kufahamishwa na TFF hapo hapo Bongo.
Mimi kimeniuma sana, if this is true I am really sadenned to see that, the media here in Tanzania are put aside for the story, and preference is given to the media outside the country, I dont know ? whether that for the right reasons or just a hidden agenda, given that millions have been paid out for the occassion.
I really wont go on a whip, because I don't have any analysis that might have been drawn by TFF to come to this big pay out, who knows?? We need to ask them I guess?
I think the people in the media like yourself need to probe more and press the TFF to give more of the story.
au ndio yale yale ya RADA, Sorry I promised to give out my thoughts on the issue, but I just did??
Sijui ni mamilioni mangapi yamelipwa lakini hili ni tangazo kubwa sana la biashara. Nchi zaidi ya 100 duniani zitaangalia hili pambano live, nyingi kati yao zikiwa hazijui hata kwamba kuna nchi inaitwa Tanzania. TTB wakiweza kuwa wadhamini wa pambano na kuanika tangazo la kutangaza Serengeti, Kilimanjaro nk tunaweza kupata idadi ya kutosha ya watalii kuanzisha shirika mpya la ndege.
ReplyDeleteMie nimefurahi Brazil Kucheza na Tifa letu ila pia tufikirie na tujulishwe Pesa Ngapi wamewalipa Brazil? Sababu Qatar tunajuwa wana pesa walitangaza wamewalipa Brazil £4m na England £2.5 kucheza Mpira kwao Qatar je Tanzania tumelipa ngapi Je hizo Pesa Ukiongeza kidogo hatuwezi Ku Host African Cup?. Juma.
ReplyDeleteYap, mara nyingine tumia pesa uuze jina. Sio jambo baya kabisa kuwapa hizo dolari millioni jamaa wa brazil wakacheza hapa kwetu Dar. Nimefurahi sana kwani nitaweza kwenda kuwaona Dunga, Kaka, Ronaldino nk.
ReplyDeleteBora pesa iende kuliko kuliwa na wajanja wachache wa EPA.
Anyelaumu alaumu, lakini kwa mimi hapa dar nachekelea na nataka ujio huu utimie, ili nikawaone mabingwa wa kabumbu safi, macho kwa macho.
Kwanza fedha robo tatu itarudi kwa kulipwa kama kiingilio. Jamaa wa Kenya, Uganda , Rwanda, burundi na Zaire kweli wameshaanza kutuheshimu, dharau ya miaka ile kuhusu bongo, darisalama inakwenda inakwisha. Hongera Tenga, waleteni jamaa, tushangilie kupigwa mtu bao 12-0
Priorities za hawa viongozi wetu nadhani zinamshangaza hata mwendawazimu. Hivi kweli ulipe dollar milioni kadhaa kwa timu ya Brazil wakati watoto wako wanakaa chini mashuleni kweli ? Akin dada na wake zetu wanarundikwa kama mizigo kwenye vyumba vya kujifungulia.
ReplyDeleteMheshimiwa sana rais naomba uingilie kati. Huko tunakopelekana siko, na watu siku watakuja kuchoka halafu zianze lawama. Sasa utachoka pale utakapoambiwa kuwa mzee mwenyewe ndiyo amelipigia debe hilo. Itabidi uwe mpole tu, sasa utafanyaje ?
Bora wenzetu wa Zimbabwe waamepinga na mwisho mechi imefutwa. Sisi hata kiasi gani kimelipwa hatutakuja kujua.
Inabidi tuombe huruma ya Mungu tu, hakuna watu wa kuamini tena hapa kwetu.
Yaaani bwana hela ni kitu kibaya sana wao wameona kwamba wata make hela nyingi ile kinoma. Mi ushauri wangu waTanzania tumshangaze Tenga watu wasiende kwenye mpira tuangalie tu kwenye TV cause i know they will show it...........LAZIMA APANIC
ReplyDeletewaste of money, najua kutokana na viingilio tunaweza kupata $1m lakini naona tunaweka mayai yetu yoooote kwenye kapu la mpira wa miguu. Dola milioni 2 ni sawa na bilioni 3 zingeweza kujenga multipurpose courts 150 ambazo zinaweza kutumika kuchezea basket ball, netball, tennis, badminton, handball na kutumika kama sehemu ya michezo ya maigizo (mfano upo kituo cha Amref Mwananyamala). Inabidi tuendeleze michezo kwa ujumla (kwa wanawake na wanaume) kwa ajili ya wananchi woote kushiriki na si kwa ajili ya kuboresha timu ya Taifa ya mpira wa miguu tu!!
ReplyDeleteChe
Niatua nzuri hila je what next after palying brazil!! ????????????
ReplyDeleteTanzania si nchi ya mbayuwayu.. sikubali hata kidogo, tulidanganywa...
ReplyDeletewewe mdau wa Fri May 28, 05:37:00 PM hivi ni mtu wa mahisabu au? unataka kuniambia kuwa tanzania itarejesha milioni walizolipa na kupata faida kwa mechi hii?
ReplyDeleteunaishi ulimwengu ganu wewe? tanzania wageni wanaingia kila siku mwaka baada ya mwaka, pesa ziko wapi zinazopatikana kwa visa na malipo mengine?
mnaotetea kuwa mechi hii ni sawa kwani tanzania itajipatia pato hamjui lolote kuhusu masuali ya uchumi.
ReplyDeletesiandiki zaidi.
Na huyu anaesema amefurahi kuwa ataweza kwenda kuwaona akina dunga, na hajali ni milioni ngapi zimelipwa, labda kesho na aende hospitali na kuona watanzania wenzake wanavyolumbukizwa katika wodi zisizo na chochote, halafu arudi hapa na aseme kuwa amefurahi kuona mamilioni ya dola zetu zimetumika kwa dakika 90 za mpira.
wanaosema kuwa mechi itasaidia kuitangaza tanzania mnaota sana.
ReplyDeleteTanzania itajulikana kama nchi ya wajinga waliowalipa mamilioni brazil kuja kuwaaibisha na kuwafunga nchini kwao.
Tuna mechi Rwanda tarehe 5 Juni halafu tena tuna mechi bongo tarehe 7 Juni, hii imekaaje lakini???? Au ndio sababu zenyewe za kufungwa zinapikwa????
ReplyDeleteAnkal tafadhali nakuomba sana uturekodie hii mechi yote ili na sisi tusikuwepo nchini tuweze kuiona, please.
ReplyDeleteAu kama kuna mdau anajua channel ambayo naweza kuifuatilia gemu hapa Canada aniambie tafadhali, msaada wadau, roho inanidunda tayari hapa.
Hirizi na sayansi wapi na wapi.
ReplyDeleteFibre na mapilau!!!
(US Blogger)
Kuna uchambuzi mzuri sana kwenye gazeti la the Express la wiki hii kuhusu ujio wa Brazil... Kichwa cha Habari "Bring on Brazil but dont compromise Taifa Stars' place in CHAN finals"
ReplyDeleteSTOP WHINNING GUYS.....!
ReplyDeleteIN THE BIGGEST NATIONS LIKES AMERICA THERE IS SO MUCH PEOPLE HOMELESS AND HUNGRY IN THE STREETS BUT HOWEVER THE PRESIDENTS BUSH AND HIS USA ALLIES GIVES OUR NATIONS MILLIONS OF DOLLORS AND YOU DON`T HEARD THE AMERICANS COMPLAIN THAT THEY ARE WASTING THEIR FUNDS NOW WE HELPING ANOTHER NATION ON EARTH SO THAT THEIR TEAM NOW PEOPLE SAY WE ARE POOR AND SO ON WE TANZANIANS ARE NEED TO STOP WHINNING LIKE STREET KID. WE CAN HELPING ANY NATION JUST LIKE JESUS SAY GIVE EVERY YOU HAVE THEN FOLLOW ME SO THAT IS GOOD EXAMPLE OF DOING FOLLOWING JESUS AND ARE HELPING BRAZIL THEY NEEDS FUNDS AFTER SPENDING EVERY THING THEY CAN NOW
Mwaka jana iliundwa kamati ya kujaribu kuvuta timu zilizo qualify WC 2010 waje wafanye mazoezi hapa nchini kwa kuweka pre-tournament camp. Mh. Shukuru Kawambwa ndiye mwenyekiti. Fungu la $6 million dollars ndilo liliwekwa kufanya kazi hii. My understanding is that this is the money that is used to pay Brazil the appearance fee. Hivyo basi, fungu lilishawekwa tangu last year na halijachukuliwa sehemu nyingine yeyote kwa sasa.
ReplyDeleteMechi itaonyeshwa live kwenye TV lakini sijui ni channel gani. Huku bongo tunaambiwa nchi zaidi ya 160 zitauona huo mtanange.
Shemeji zetu wote watakuja hapa Dar siku hiyo! Walivyokuja Ivory Coast walikuja watu kutoka Zambia, Kenya, Rwanda, Uganda, Burundi na DRC Lubumbashi. Sembuse wanakuja Brazil!! Hata wakisema chochote lakini hili hawana jinsi watakuja tuu.....au wataangalia TV zao.
My two cents......
Sadly, soccer is no longer a sport. It is a business category of the larger entertainment industry created to make as much money as possible, at the expense of those who are entertained by it.(ANSWER TO KAKA TRIO)
ReplyDeleteWadau,
ReplyDeleteNimejaribu kupiga hesabu za haraka haraka, TFF watarudisha pesa yao na faida kubwa watayopata ni kuitangaza nchi. Tetesi zinasema kwamba TFF wamelipa USD 1.5M kwa Brazil.
Sasa kwa uwanja wa watu 60,000, endapo kiingilio cha wastani kitakuwa Shs 20,000 tu basi TFF watapata Tshs 1.2B. Ukichanganya na matangazo ya biashara, haki za televisheni na radio, wataweza ku break-even. Kwa hiyo faida kubwa itayopatikana hapo ni kuitangaza nchi kibiashara, utalii na michezo. Na pia kutoa burudani kwa Watanzania, this is a once in a lifetime experience.
Kuliko hizo pesa wale akina Liyumba na waishie kwenda jela miaka miwili, lets share the national cake in this way.
kama unawajua watz kwa kupenda sijui ni sifa au nn mm hata sielewi m2 anakwambia anaenda kumuona cjui kaka na rodnho yy hajali kama nyumbani kuna njaa na bado anatoa ugali wake robo anampa mwenye shibe kwa sifa tu aingie kwenye mkumbo eti wa kumuona live cjui nani? kazi bado tunayo jamani mpaka mawazo yabadilike miongoni mwetu tuombe mungu.
ReplyDelete