Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Sakina Datoo, akisherekea siku ya kuzaliwa leo Mei 3, 2010 huko London aliko masomoni. Leo pia ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani, na Sakina amekuwa mwanaharakati maarufu katika vita vya kupigania uhuru wa vyombo vya habari Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2010

    Da Sakina ame trim na amependeka.

    Hepi basdei.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2010

    Happy birthday dada sakina

    Kweli maji ya london imekupendeza naona una furaha tele ne umefurahi mno.endelea kupiga kitabu ili urudi kutukomboa tuliyobaki nyumbani dar.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2010

    Du kumbe huyu dada yuko masomoni ndio maana sijamsikia tena,wamempeleka huko kumtuliza nini manake machachari sana.Happy Birthday Sakina.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2010

    Thamahani thana wadau, mbona kadheeka kidogo?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2010

    Anony 09.43. Kwani wewe utaishi na ujana hadi lini? Mawazo ya kitoto!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2010

    Anony 09.43.Hiyo ni picha tu na pia alikuwa nachakula mdomoni.

    Hepi besidei,mwana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...