Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2010

    Bongo bwana, mwizi ametaka kuiba gari, na anakwenda kituoni kwa kutumia gari hilo hilo, huku anawashiwa kiyoyozi, hii ni bongo tu, ulaya hakuna.

    Lugalo

    ReplyDelete
  2. MICHUZI....UNAPOSTI VITU GANI NDUGU YANGU.....WHAT IS THIS???

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2010

    Asante mdau kwa picha ya tukio. Naomba utoe maelezo ya ziada. Binafsi sijaelewa huo wizi ulikuwa ufanyikeje.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2010

    Tuwekee maelezo ya nini kilichojiri make sauti haisikiki vizuri

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2010

    Asante ankal, kweli nimeamini bongo watu hawana kazi za kufanya na hata kama wanazo basi wana muda mwingi wa free

    yani kukitokea jambo dogo tu watu wanajaa na hawataki kuondoka mpaka wajuwe mwisho wake utasema wanachukua habari

    jambo kama hilo likitokea waachieni wahusika wa ulinzi wa nchi wamalizane

    nendeni mkatafute ugali sio mnakaa kujazana kijinga like that kama huyo dada hapo katoka hukooo kaacha wateja kwenye mama nitilie yake kakimbilia umbea hauna faida na yeye

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2010

    HAHAHAHAHAHA MBAVUUUUUUUUUUUUUUU.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 19, 2010

    Bongo watu hawana kazi.Likitokea tukio wote wanajazana kushangaa jambo, tena wanatumia muda mwingi kushangaa, inaelekea hilo kundi lote kalibia hapo ni jobbless, wanazugazuga tu town,na wengine ni vibaka hapo hapo,ukizubaa tu unaibiwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...