Habari njema kwa wale wadau wote wanotaka kuja kusaka Nondoz za Pharmacy China. Kwa wadau wote watakaoguswa kwa namna moja au nyingine msisite kutuma email kwenda
cpu_admission@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2010

    CHUO KINATUMIA yahoo EMAIL?? MHH HILI SI KANJANJA KWELI!?! BECAREFUL GUYS. Naweza nikawa wrong pia. Mtazamo wangu binafsi tu.

    ReplyDelete
  2. kama dawa wanazotengeneza ni feki jee elimu itakuwa bomba???????? bila shaka ni feki pia.

    wacha wadau wakasomee ujanja wa kutengeneza bidhaa feki waje kuutumia bongo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2010

    Ankal mbona hapo napata mshaka kidogo na ukweli wa hili tangazo, chuo kikuu kweli tena kiko uchina kinatumia yahoo address!!!!!!!!!!!! Chuo kikuu hakina "DOMAIN NAME"!!Hapo nanusa kama kuna kipigo flani jamani tujaribu kuchunguza kupata ukweli wa hili jambo.

    Mdau

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2010

    Mimi nashauri, mtu asithubutu kusoma china kwa nyakati hizi, labda uwe mtoto wa kigogo sana anayetambulika kimataifa indio utapata elimu kule.
    Wachina ni wabaguzi sana, nashangaa TZ wanafagiliwa. Mie nilisoma huko miaka iliyopita, ilinilazimu kuja kumalizia kozi yangu hapa TZ. Mambo yao feki feki. si bidhaa tu hata elimu. Kuna shule za matapeli vilevile. wanafundisha uwongo si anajua utakuja kuua TZ si China.
    Ukitaka kujua undani nenda pale SINO TANZANIA FRIEDSHIP hospital sinza hapo ndio utagundua zaidi.Wenye akili zao hawawezi kanyaga pale. Dawa za malaria wanazosema wanatoa bure, ARTESUNATE, ukishaimeza kweli unajisikia umepona lakini baada ya wiki hali inakuwa mbaya zaidi na malaria tayari sugu. Si itabidi urudi? hapo watakwambia ni dozi moja ya bure, ukirudi unanunua. Hapo ndio wanakupa ya bei mbaya kufidia na ile waliopkupa bure, nayo vile vile haitakusaidia. Wanajenga jina la kutoa msaada wakati huohuo wanaua waTZ. serikali iangalie na hili

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2010

    Hawa jamaa Tz inawafagilia sana lakini kwa upande mwingine wa TZ tunauawa. Shule za china si nzuri hawa watu hawana ushirikiano na wanafunzi ambao si wachina. Darasani anaweza kukupa maksi 100 kumbe umeandika utumbo.Mie nawaelewa sana.MTZ anayependa elimu na kujua mambo asiende china.Ni wabaguzi na wana wivu sana hawapendi kupitwa. Chunga sana wa TZ.Nendeni kusoma kwingine sio china

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...