Naibu Katibu mkuu,wiazara ya Fedha na Uchumi Dr.Servacius Beda Likwelile akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miongozo ya kazi naibu katibu mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi Dr.Servacius Beda Likwelile katika sherehe fupi za kumwapisha zilizofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2010

    Mashaka he?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2010

    Hi mzee mwenyewe michuzi!!! plz bwa michuzi tunaomba sana utwekee link ya taifa stars na brazil ili tuione live kwani tunaamini kuwa sio peke yake nchi 160 zitakazo ona huo mpambano bali ni dunia nzima!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2010

    HII JAMAA ALIKUWA AFUNDISHA PALE MLIMANI KACHOKA LEO MAMBO YAKE SAFI. LAKINI HII NI MATUNDA YA ELIMU YAKE. HONGERA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...