Meneja wa kilaji cha Ndovu Oscar Shelukindo na Mpishi Mkuu wa TBL Mzee Gaudence Mkolwe wakiondoka Dar es salaam leo kuelekea Frankfurt, Ujerumani, kupokea tuzo ya Dhahabu ambayo Ndovu imepata kwa kuwa kilaji bora duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2010

    KILAJI AU KINYWAJI? usituchanganye hahaahaha KIlaji ndio yaleyale Mboga ni Kuku.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2010

    Meneja wa kilaji hebu vaa kama mtu msomi unae-enda kupokea dhahabu bwana. Hicho kiji-Shati chako kama kijus-becouse chepesi utavaa ukiwa mtaani Franfurt binafsi unapofanya shopping ya kurudia bongo. Ebu kuwa na represent kidogo. Umezidi sana wewe sio mcheza mpira bwana, wewe ni representative fulani wa nchi kupitia kinywaji chako.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2010

    habari nyepesi nyepesi zinasema kuwa wachezaji wa timu ya taifa ya COLOMBIA wamelizwa(wameibiwa)vitu vyao katika hoteli waliyokuwa wamefikia SAUZI,mpaka sasa hivi wafanyakazi wawili wa HOTELI hiyo wanashikiliwa na polisi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2010

    God forbid

    afu michuzi mbona hutupi habari za sauzi world-cup???au vekeshenii kwishney au wale wadau walioko uko si watupe manewzzz

    na Tz tumelipa kiasi gani na source imetoka serekalini au TFF kuwaalika brazil bongo???nawashwa kujua hili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...