




Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NEMEFURAHI JINSI HUYU MTOTO ANAVYOMWANGALIA RAIS USONI HIVYO NDIVYO INAVYOTAKIWA WATOTO WAWE WAJIAMINI NI MWANZO MZURI KATIKA MAISHA YAKE: ANAJIFUNZA GOOD COMMUNICATION.
ReplyDeleteMhe JK pamoja na kufungua Kiwanda hicho inakuwaje bei ya saruji inakuwa juu hata mtu wa kawaida anashindwa kuimudu? Gharama za uzalishaji zikoje? Serikali ifikirie kuwapa nafuu wazalishaji kwenye umeme wanaotumia kuwapa wananchi unafuu waweze kujijengea nyumba nzuri kwa bei nzuri.
ReplyDeleteSERIKALI IFUATILIE BEI YA SARUJI ILI WANANCHI WAACHANE NA MBAVU ZA MBWA JAMANI
ReplyDeleteMhe JK pamoja na kufungua Kiwanda hicho inakuwaje bei ya saruji inakuwa juu hata mtu wa kawaida anashindwa kuimudu? Gharama za uzalishaji zikoje? Serikali ifikirie kuwapa nafuu wazalishaji kwenye umeme wanaotumia kuwapa wananchi unafuu waweze kujijengea nyumba nzuri kwa bei nzuri.
ReplyDeleteHIVI WEWE UNAFIKIRIA KWA STYLE YA MAFISADI TUTAFIKA KATIKA MAISHA AMBAYO TUNAJIDAI KWA SASA HII KWA TZ ITAENDELEA KUWA NDOTO KWANI HAPA TZ MZUNGU ANAPEWA KIPAU MBELE KULIKO MZAWA SO ILI TUFIKIE MALENGO BORA TUENDELEE KUNUNU SARUJI TOKA YEMEN/DUBAI N.K KWANI NI NZURI NA PIA SI UZURI TUU NI IMARA MIMI NDIO NINAYOTUMIA.
KAMA UKINITAFUTA HUNIPATI NAOGOPA WATANITAFUTIA SABABU WANISWEKE LUPANGO......... HABARI NDIO HIYO
ANY COMENTS AM READY FOR REPLY
Anon May 28, 03:36
ReplyDeleteHow very true indeed. Confidence ni kitu muhimu sana kuelekea mafanikio. Shida yetu tulio wengi ni jinsi ya kujenga hiyo confidence.
MIMI NINGESHAURI UCHAGUZI UWE UNAFANYIKA KILA MWAKA AU HATA BAADA YA MIAKA MIWILI. MAENDELEO TUNGEYAPATA SANA.
ReplyDeleteVIIONGOZI WENGU HUWA WANALALA MPKA WAKATI WA UCHAGUZI NDIO MAMBO YANAAMKA...IMAGINE RATE HII YA UFUNGUSI WA VITU INGEKUWA KILA BAADA YA MIAKA MIWILI TUNGEKUA WAPI?
God
Bless
Tanzania