Home
Unlabelled
joel bendera aongelea karaha ya michezo kuburutwa kortini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sawa sawa kabisa, hapo kanifurahisha.. CAF na FIFA hawana utani bwana, wakisikia hivi wanaweza kutufungia kama miaka miwili hivi... Huyo Wambura anafikiria maslahi yake tu, lakini hajui kwamba ana-risk maslahi ya taifa.. He's simply ignorant and greedy!!
ReplyDeleteMdau wa kabumbu
Wambura kama unataka kwenda kwenye siasa usipitie michezo tafuta njia nyingine huku ulisha chemsha. kama mimi ningekuwa viongozi wa kamati ya uchanguzi, mumpitishe wambura then wanachama wa simba msimpe hata kura 2,abaki na yake moja hapo mtakuwa mmemmaliza kisayansi zaidi. hata Rage nae hakuna kitu hizo elements hatuzitaki kwenye michezo wataturudisha kule kule ambako kwa sasa taratiiiiiib tunaanza kukusahau japo with slow pace.
ReplyDeleteby Kawala-Sweden
Hiyo kesi iko mahakamani tayari kwa hiyo Joel Bendera asiingilie mahakama ni kosa kisheria,asubiri hukumu itoke ndio aanze kuongea.
ReplyDeleteStop that ego!!!
ReplyDelete"...nimeandika speech kama ya page 3/5, na kila mtu alikuwa anataka copy..."!
....mhhhh, Mheshimiwa, you don't need to praise yourself too much, let other people do it for you!
It might be a 'wonderful speech' but may be those who asked for it, didn't really think that way!
bla bla bla , bla bla bla bla,
ReplyDeletenext time you quote other people's words , remember to reference as well Mr !
Jamani tangu lini mtu akajisifu mwenyewe "Eti kila mtu alitak copy ya speech yangu" Mahakama ndio mtenda haki, sasa kuna watu kwa kutumia kisingio cha katiba ya FIFA sijui CECAFA na TFF wanawakosesha wenzao haki zao za msingi.
ReplyDeleteMimi ndio mwajiri mkuu
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI BWANA,HIVI WAMBURA ALICHOUKOSEA MPIRA WA TANZANIA NI KITU GANI MPAKA AANDAMWE NAMNA,ME I THINK THERE IS NOTHING WRONG WITH HIM THAT CAN NOT BE CURED WITH WHAT IS RIGHT WITH HIM BWANA,YANI SASA IMEKUWA KILA AKITAKA KUGOMBEA NAFASI KWENYE MPIRA WA MIGUU IWE TFF AU KWENYE CLUB LEVEL JINA LAKE ETI LINAONDOLEWA,TULIONA HAYA KIPINDI ALIJITOKEZA KUGOMBEA U MAKAMU WA MWENYEKITI TFF NA SASA LINAJIRUDIA TENA SIMBA,TOO MUCH SASA.
ReplyDeleteSAYZ HADJ A.K.A. MWAJIRI MKUU
FIFA,TFF ni Genge la wahuni tu,kwanini wawe juu ya sheria za nchi? WaTz acheni ukondoo lazima tujifunze kutetea haki zetu,lets justice take its course.Big up Wambura am down with you Bro.
ReplyDeleteBy Mwananchi.