Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Katiba na Sheria George Lubeleje akilakiwa na Kaimu Mkuu wa Utawala wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT)Zakariyya Kera wakati kamati hiyo ilipotembelea ofisi za Tume Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mtendaji wa Tume (Elimu ya Sheria kwa Umma) Agnes Mgeyekwa akitoa ufafanuzi wa masuala yanayoihusu idara yake mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Mratibu wa Mradi wa BEST katika Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Athanasia Soka akieleza mbele ya Kamati ya Bunge mikakati ya mradi wake kwa Tume
Baadhi ya Watumishi wa Tume wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kmati ya Kudumu ya Bunge Katiba na Sheria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...