NAONA HAPA MPAKA SIKU IJE KUTOKEA AJALI AU MAAFA NDIO MAMLAKA ZITACHUKUA HATUA SAHIHI...
HATA GARI LA WASIMAMIA SHERIA NALO LINAVUNjA SHERIA!!!
KWELI BONGO TAMBARARE.
MDAU PPF TOWER....
MDAU PPF TOWER....
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamanieeeeh mnaosema tanzania nchi masikini je mmeliona gari la polisi hilo hapo juu ? milioni 300 kama sijakosea bado kulitunza hilo , hata sijui kama uingereza polisi wao wana magari kama hayo , nisaidieni mlowahi kuenda au kuishi UK je polisi wa huko wanalo gari kama hilo ??
ReplyDeletemaji bombani hayatoki leo mwaka 2 sasa...gari ndo hilooooo
BONGO TAMBARALE
yani ndugu mdau uliesema watunga sheria wanavunja sheria yani nagari ya serikali kuanzia pt mpaka mastk dfp wote ni wavunjaji wazuri sana wa sheria hawafwati foleni kabisa na sijui wanakuwa na haraka gani kwasababu mafuta ni bure kwanini wanavunja sheria,badala sisi tunaonunua wese ndio tufanye hivyo wao ndio wanafanya,sehemu zilizoandikwa no parking wao ndio wanapaki yani huwa wao wapo kinyume kabisa na sheria ambazo wao ndio wanazitunga.hao madereva wa dfp huwa ndio sitakagi hata kuongozana nao yani wao wakikaa barabarani wanadhani barabara yote wanaimiliki wao wanaendesha speed za ajabu sijui nivile wanajua hata gari ikipata ajali itatengenezwa tu yani kwa kifupi hawajatulia kabisa barabarani madereva wa (DFP)hizo spidi zao,utafikiri ambulance inawahisha mgonjwa.
ReplyDeleteYou must be kidding me ! That black SUV is not a government's vehicle. Our government is so poor and can't afford those kinds of vehicles.........oooops, I am dreaming.
ReplyDeleteMwende kujiandikisha kupiga kura...lakini nchi yetu ni kama imelaaniwa watu tunaowaona wazuri wakiingia tu kwenye uongozi sijui mahela ni mengi hivyo hawajui la kufanya basi wanabadilika na kuwa mafisani in no time...
ReplyDeleteWanabidi tuwatoe wote na kuingiza wapya ndio tutawea la sivyo ni taabu sana
Gari kama hiyo mjini Dar? Kubwa la bure, gas nyingi ya bure na wala kama ni kukimbiza mtu haliwezi kukatizamitaa kwa haraka...Vile vigolf viliendaga wapi
Juzi nilipita uchochoro wa Ostabei polisi nikaona mabanda wanayoishi ndugu zetu yaani nilisikitika sana. Yaani zile kota zione kwa nje tu, ndani ni mabanda ya mabati tu wanaishi vijana wetu na familia zao. Lile eneo la Obay polisi ni kubwa sana, likateni nusu mpeni mwekezaji kwa miaka 15-25 ajenge anachotaka na awape $2m muwajengee vijana makazi mazuri.
ReplyDeleteMmeliona hilo moja tu?yako kibao MAPT na MASTK na mengine kibao huwa yana namba za kwawaida ila ni ya Govment.Hapo ndio Tutajiju.
ReplyDeleteHilo Land Cruiser GX mbona ni chamtoto? Serikali yetu tukufu ina ma-VX ya kumwaga. These are the most expensive Toyotas that money can buy. Ukiangalia jinsi maafisa wa serikali wanavyotamba na magari ya bei chafu kabisa ni vigumu kuamini kwamba Tanzania ni nchi masikini ambayo zaidi ya asilimia 30 ya bajeti yake inategemea huruma za wahisani.
ReplyDeletejamani mada hapa ni kupaki gari katika sehemu zisizoruhusiwa mbona mada imebadilika na kuwa gari la thamani za serikali , mada sio hiyo , sawa wajameni ????
ReplyDelete