MAONYESHO YA KITALII YA KIMATAIFA YA KARIBU TRADE FAIR MKOANI ARUSHA KILA MWAKA, MWAKA HUU HUDUMA ZAO PEKEE PIA MWAKA HUU WAMEAMUA KUFANYA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU YATAKAYOANZA KESHO IJUMAA KATIKA VIWANJA YA TGT MKOANI ARUSHA.

AKIZUNGUMZA NA BLOG YA JAMII ASUBUHI HII, KOCHA MKUU NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UTALII YA KIPEPEO TOURS BWANA BALTAZAR ATHANAS AMESEMA TIMU ZILIZODHIBITISHA KUSHIRIKI KATIKA BONANZA HILO NI NANE NAZO NI KIPEPEO TOURS, ZARA TOURS, JACKPORT TOURS & SAFARI, THE NEW ARUSHA HOTEL,TGT,SOKO ADVENTURE WILD TRACK NA TANZANIA 2000 ADVENTURE,

AMESEMA BONANZA HILO LINATEGEMEA KUMALIZIKA JUNI 6, 2010 CHINI YA UDHAMINI MKUBWA WA KIPEPEO TOURS, MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA VODACOM TANZANIA NA ZAIN.
TIMU ZITAKAZOFUNGUA DIMBA HIYO KESHO NI TGT NA KIPEPEO TOURS IKIFUATIWA NA TIMU ZA ZARA TOURS NA ARUSHA HOTEL. KAA MKAO WA KULA KWA TASWIRA NA HABARI HIZO NA ZA MAONESHO HAYO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...