kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nimemkubali jamaa, mashairi yake ni makini, yakini. nakupa hongera ndugu yangu endelea kuilemisha jamii kuhusu maendeleo yetu na endelea kufichua maovu ya serikali haswa viongozi wetu wa kisiasa na wale wa sirikali. nakupa hongera tena kwa utnzi wako yakini.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2010

    Michuzi huu ndo muziki wetu wa asili si flava, wewe ni mtu mwenye akili timamu kwa nini unaweka fleva humu?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2010

    jamaa yuko na furaha sana na kazi yake yaani ukiangalia unaona la ama kweli nimemiss mengi, hajitii kuongea kiingereza cha wamarekani wala nini yeye ni anamwaga luga ya taifa tu, afu anatoa joki za hapa na pale tena zinafurahisha na hizo nyimbo ni duuuuu.... ngoja nikamwimbia wifi zangu manake wananisumbua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...