Timu ya wahenga wa Kijitonyama ambayo itakwaana na timu ngumu ya Muhimbili Veterans katika mchezo wa kirafiki siku ya Jumamosi tarehe 29.05.2010. Lengo la mchezo huo ni kukuza mahusiano baina ya timu hizo na kujenga afya za wachezaji. Habari zaidi za Kijitonyama Veterans: BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...