kuona video zingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2010

    hahaha misupu hii ni comedy kali sana.Nimecheka sana hiyo ya wewe kukopa maana fundi kakuingizia vizuri sana na huyo mtu aliyekataa kupigwa picha eti atachekwa na watoto wa ulaya.Michuzi tunahitaji video kama hizi za hapo kijiweni. Nimemiss wabongo wanavyoongea na sense of humour yetu. Sweden

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2010

    Michuzi kama UNAMKOPA Fundi Mussa kung'alisha viatu, itakuaje kwa warembo??

    Lipia HUDUMA zao mzee!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2010

    U said it all TX, angalia watu watakavyoanza libeneke kusaga. U still mkongwe na unaendeleza libeneke. Nakumbuka wewe Simba damu. All the best.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2010

    Ha ha hah wanawake bongo muige hii ...ukiona hasemi basi usiogope kusema

    http://news.yahoo.com/video/local-15749667/19886199

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2010

    jamani wanyeji hapo ni mitaa ya wapi?? hivi si nilisikia watu kama hawa walitolewa mjini ssa wamerudi tena?? ama

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2010

    Duh...TX bado yupo! Ahsante Michuzi

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 19, 2010

    siriii imefichuka..mithupu unataka kumfilisi Mutha.. usiyungushe mkono.. malizana nae hapo.. teh teh teh..!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 19, 2010

    Loved it! Real people, real places in real times. Thanks Muhidin for such a wonderful clip. Keep 'em coming man, they bring nice nolstagia. Remember Empress Cinema of those good days? Keep the good work Muhidin!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 19, 2010

    Nimecheka ile mbaya!

    Musa ndiyo mwenyewe. Ni celebrity wa category yake. Ukijaribu kumtingisha unaweza kujikuta unatingishika wewe. Anajuana na watu wengi mno walio na wasio na influence za kijamii, kiuchumi na kisiasa

    Enzi hizo hakuna mobile phone message zote zinaachwa kwa Musa. Na hata siku hizi bado tunaenda kwa Musa kuulizia jamaa na matukio.

    Hapo hajaonekana Omari Mlugulu muuza magazeti.Yupo?

    Naomba uwape salamu zangu.

    Mdau, Helsinki, Finland.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 19, 2010

    SAFI SANA MICHUZI. NIMEFURAHI SANA KUMUONA TX. YAANI NIMEANZA ASUBUHI VIZURI KWA KUCHEKA SANA. KWELI HOME NI HOME.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 19, 2010

    Empress Cinema hahahaha michuzi safi sana security huyooooooooo hahahaha. Musaaaaaaa, hapo enzi zile nikitoka shule.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 19, 2010

    Hii safi sana Ankal yaani burudani ya kutosha...halafu kweli bwana TX alikuwaga mitaa ya Empress tangia mimi niko primary, na sasahjivi nimeo ana mtoto juu jamaa bado yuko palepale...hahaha. Ankal keep these ones coming, real life situations taken live, no script no editing...very entertaining. Halafu kweli huyu Mussa Njagu design huyu, itakuwaje amebaki pekeyake tu??

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 19, 2010

    hee bwana tx huko hai kaka lakini duuuuuuuuuuuuh haya kaka wasalimie njenje

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 19, 2010

    TX kaka upo!haya kaka mpe salaam,MNENE!UBIL HUBA- UKIONA USISEME NA UKIAMBIWA USIKATAE.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 20, 2010

    E bwana wee, yaani TX bado yupo kijiweni, ankal umenikumbusha mbali sana, asante.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 20, 2010

    Ukitaka kupata taarifa zote za majungu na fitina za soccer bongo utazipata kwa Musa, hapo nimewaona "makomandoo" wawili maarufu wa Simba na Yanga nadhani wadau mnawafahamu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...